Chaguzi ndogo 2017

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,339
Kesho tarehe 22.01.2017 utatafanyika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Dimani huko Zanzibar na Chaguzi nyingine kadhaa za udiwani. Mliopo kwenye maeneo husika tujulisheni hali ikoje na matokeo yanaweza kuchukua uelekeo upi?
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom