Chaguo Sahihi?

Chaguo Sahihi?

kipre

Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
18
Reaction score
4
Naombeni Msaada wenu wa mawazo tafadhali,Mimi ni Mkristo nina mke lakini nahisi nilifanya uchaguzi usio sahihi maana sina hisia nae kabisa japo tumezaa pamoja mtoto,najitahidi Kumpenda lakini wapi naombeni msaada wenu nifanyeje?je kumwacha ili nisiendelee kumuumiza inawezekana?kidini ikoje hiyo?
 
Kwanini ulimuoa?
You are doomed hakuna ndoa ya kikristu inauovunjika kwa kupungukiwa hisia.
 
Naombeni Msaada wenu wa mawazo tafadhali,Mimi ni Mkristo nina mke lakini nahisi nilifanya uchaguzi usio sahihi maana sina hisia nae kabisa japo tumezaa pamoja mtoto,najitahidi Kumpenda lakini wapi naombeni msaada wenu nifanyeje?je kumwacha ili nisiendelee kumuumiza inawezekana?kidini ikoje hiyo?

Kidini hairuhusiwe kumuacha kwa kuwa umekula kiapo naye kanisani labda kwa kosa la uasherati.

Huna ujanja lazima ule chuya kwa uzembe wako katika kipindi cha kuchagua.
 
kazi unayo....kwani ilikuwaje hapo mwanzo.....?.......alikubaka......? ulilazimishwa.....?
 
hahahhahhahahhahahah have a coke tu bana!
au mtu aniambie maana ya uasherati!ila kama ni huu huu naoujua mie basi ndoa nyingi sana sio halali yailahi! kwa haya mambo nayoyaona mie mpka umri huu!lolz
 
kazi unayo....kwani ilikuwaje hapo mwanzo.....?.......alikubaka......? ulilazimishwa.....?
Kweli kazi ninayo ilikuwa ridhaa yangu mwenyewe ila sio sasa,na naogopa kumuumiza mtoto wa watu
 
wakati namuoa nilihisi nampenda ila nimegundua sivyo

Then endelea kuhisi tu, maana nahisi ulimchezea love of ur life halafu ukaja kumdiss kwa huyo ulitehisi unampenda. Mtafute uliyemuahidi ukamuacha; umuombe msamaha ndipo utakapopata peace na mkeo.
 
shkamoooooo!!!
 
Mwambie siku hizi haumpendi kama zamani, umsikilizie atasemaje, pengine naye pia hakupendi like before.
 
dunia ina mambo...jinyonge ufe maana mkiapa kifo ndo kitawatenganisha
nachukia miwanaume inayocheza na feelings za watu mimi,ulilazimishwa? au ulitumwa kwake ? si ulijipeleka mwenyewe ? eti simfeel huna adabu kabisa
 
Inamaana huyo mtoto mlipata vipi? kama huna hisia nae,inawezekana unacheza mchezo inje ukirudi nyumbani ukifika wakati wa tendo la ndoa huna appetite nae ndio maana yake.
 
Naombeni Msaada wenu wa mawazo tafadhali,Mimi ni Mkristo nina mke lakini nahisi nilifanya uchaguzi usio sahihi maana sina hisia nae kabisa japo tumezaa pamoja mtoto,najitahidi Kumpenda lakini wapi naombeni msaada wenu nifanyeje?je kumwacha ili nisiendelee kumuumiza inawezekana?kidini ikoje hiyo?

Hata ukimuacha uyo mwingine nae utakuwa humtamani ivyo ivyo ww unaitaji kufanyiwa maombi tu unamapepo.ndoa sio kama ndala za bafuni kila mtu zinamtosha..
 
Naombeni Msaada wenu wa mawazo tafadhali,Mimi ni Mkristo nina mke lakini nahisi nilifanya uchaguzi usio sahihi maana sina hisia nae kabisa japo tumezaa pamoja mtoto,najitahidi Kumpenda lakini wapi naombeni msaada wenu nifanyeje?je kumwacha ili nisiendelee kumuumiza inawezekana?kidini ikoje hiyo?

Kwanza nikupe hongera kwa kukifikia kituo hiki cha 'loss of marital bliss' a.k.a 'feelings' ukiwapo ndoani bado...Labda nikuambie kwamba hata ukiwa peke yako, kuna mda maisha yanapoa sana kiasi cha kutokuwa na meaning kabisa!
Sasa ukifikia hapa haina maana kwamba ndio muda wa kujiua umefika. Ni juu yako kuurudisha.

i) Hakuna incompatibility tena once ndoa imefungwa. God can make the bond perfect, honestly kama kungekuwa na kitu kama 'incompatibility' kwenye ndoa then biblia ingesema. Unafikiri Mungu hajui hiyo hali ya ndoa yako? kwamba hajui wengi watafanya makosa katika uchaguzi?

ii) Labda nikuoneshe hiki. Love that results from friendship.Unakaa na mtu kwa mda mrefu then u wake up in the morning and you are in love with them. Ili hizo chemical zinazosababisha feelings zirun in your body then inabidi vitu vingi vifanyike. Kwanza anzisha tena casual relationship, ongea naye kama rafiki tu share matatizo yenu na mtafute solution pamoja. Jaribuni kufanya majukumu ya familia( KUPIKA, KUFUA, KUFANYA USAFI NJE NA NDANI) pamoja, nendeni kwenye vikao vya kijamii pamoja. Kisha tumieni muda wa ziada pamoja. Tena ikiwezekana muambiane tunafanya kazi kwa mutual agreement hakuna kulazimishana na kulaumiana ni mwiko.

iii) Through sharing your love will bloom again....na ni kitu kidogo tu kitaleta hizo feeling. You can love someone simply by their dedication in cleaning your place...Labda umeacha kuspend time nyumbani ukaona jinsi mkeo anavyojitolea kuhudumia familia ndio maana humuoni wa maana tena. Honestly if you take into account everything she does utaona tu strength zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom