Chagua wa kutoka nae valentine day kutoka jf.

Hah!
Am spichiles!
Are you for real?
Nilidhani fang ni program kwa ajili ya like once in a year na kukamata wakorofi.

Husyn, you are in trouble, ukisema tu No bunsen banner mwaka mzima.

hehehehe! Niseme NO nina kichaa! Lol, acha maneno usije ukanipeperushia fang.
 
Swahiba maneno yako yamenifanya niamini kuwa kweli urafiki wetu ni wa shida na raha! Mie penda wewe sana! Utoke na uporoto tafadhali.

swahiba anayekupenda atakujali, kama si kwa mali hata kwa hali.
Uporoto kanikimbia, anaona valentine day imekaribia lakini hapokei simu. Acha nitafute replacement. Lol
 
kataa kata,
buzi langu mwenyewe,
wala si la kuazima,
si la vin'gung'uti,
huo mnazi wakatika,
hiyo nyumba yabomoka,
bomoka bomoooo bomooo boooooooo!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom