Chagua style unayotumia kulala ukiwa kitandani

Chagua style unayotumia kulala ukiwa kitandani

Inaanza F usingizi ukinoga inahamia G
 
Mbona wanalala na nguo ndo kusema sheria ya ndoa(marriage act) hawaijui????
 
Zangu mbona hazipo...Mie huwa kuna siku nalala chini (kwa floor) na sometimes naenda zangu sebuleni kochini....ongeza hapo.
 
Zote,ila inategemea na mood ya siku husika. Sina style permanent.
 
Back
Top Bottom