successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,084
- 6,155
najua saizi tunaelekea uchaguzi mkuu nawahasa watanzania mchague MTU sio chama kumbukeni kwamba MTU ndiye anaeleta maendeleo sio chama chagueni MTU mchapakazi na mpenda maendeleo na mwenye usubutu wa kutoa maamuzi magumu yenye kuleta maendeleo ya nchi asiyekuwa mbinafsi na mwenye upendo na watu wote bila kujali rika la watu, hali waliokuwa nayo watu , nawasilisha
Chagua CHADEMA/LOWASSA/UKAWA....USICHAGUE CCM/MAGUFULI.