Chagua jibu sahihi

Mbona hizi ni gari mbili tofauti.., anyway hii taarifa imenipita sijaiona
 
1) Inawezekana waliondoa baadhi ya vitu ili kuchanganya identity.

2) kuna picha inazunguka humu inaonesha hiyo yenye namba za njano, sight mirrors zake zimeprintiwa hizo namba za Mosambique (nyeupe)
 
Naona kuna colour change na kimbe gari likihusishwa na tukio kuna chemical change of colour[emoji23][emoji23][emoji2]
 
Nyie kamanda mkuu kasema tukikosoa akili zake tutamkoma. Uzalendo ni kukubaliana na kila wazo la kamanda mkuu
 
Drama of Tanzania... En what we have to do.. Niku... Shut up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…