Mkuu unapokuwa umeaminiwa na jamii kwa kiwango kama CCM ilivyokuwa imeaminiwa na watz basi inatakiwa uheshimu sana wanaokuamini, ulinde imani hiyo na uwe na mpango wa kuimarisha. Lakini ukianza kuitumia vibaya kwa maslahi binafsi ni wazi imani hiyo itatoweka na ikitoweka imani ya jamii kwako basi kila kitu huwa kigumu kwako.mangatara
Ninyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.
kwa hiyo unatuhakikishia ugaidi utaendelea?tena unasisitiza kwa uchungu kabisa?sasa nakubaliana na akina Yericko kuwa hii ni planned issue.
Utashirikianeje na chombo ambacho kimeshindwa kabisa kushirikiana na raia kwa kisingizio cha amri kutoka juu. Polisi ina ushirikiano na watoa amri kutoka juu na siyo raia. Hao watoa amri kutoka juu ndiyo wafanye kazi na washirika wao polisi. Polisi wenyewe wameota matumbo kama wamevimbiwa mawe, hawawezi kazi ngumu zaidi ya kuwapiga akina Lipumba. Ngoja wale kichapo huko Tanga
Kuna ushilikiano zaidi ya kutoa majina tegeta escro ya mkombozi bank pesa zilikwenda kwa nani ili twendeLee kutoaushilikiano. Au unadhani bado watu mazuzu
Mkuu BAK unajua jana nilipata mashaka pengine masikio yangu yamepata ugonjwa wa kubadili maneno hivyo ninamsikia Chagonja tofauti na anavyosema. Kwamba askari saba wamejeruhiwa na mmoja amefariki dunia. Na kwamba magaidi hayo yanatumia silaha za kivita. Na kwamba pia hakuna gaidi hata mmoja aliyekamatwa wala kuuwawa na hakuna silaha zilizokamatwa. ILA HALI NI SHWARI NA WANANCHI WAENDELEE NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA. My foot! Hujakamata "hizo silaha za kivita" then unasema hali ni shwari? Huku askari kafa! Nchi yangu ni ya ajabu sana.
Mkuu hata ingelikuwa kuwa magaidi yapo hapo Tanga. CCM na serekali yake haina njia ya kuikwepa lawama. Sera ya udini na ukabila iliratibiwa na ccm baada ya kukosa sera.
Wamewahonga Waislam Kidatu Tanesco waanzishe chuo kikuu, wamewaahidi mahakama ya kadhi kitu ambayo ni ngumu kuipewa, wamewaahidi OIC weye upo wapi?
Sasa mtaitoa hiyo mahakama mtake msitake. Sasa mtatii mashart hayo. Wanataka kuliingiza jeshi kulinda ccm dhidi ya upinzani
Mikwara kibao ! Hivi vile ' VITU VYA NCHA KALI ALIVYOKUWA ANAVITANGAZA CHAGONJA ENZI ZILE VILIKUWA NA UKWELI GANI ? ' unataka tumuamini kwa lipi ?mangatara
Ninyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.
Jiheshimu we baba, ccm haina nia njema kwa nchi hii hata kidogo, ni mashetani yenye sura ya kibinadamu bora TANUUroho wa madaraka unawafanya CHADEMA kupinga kila jema linalofanywa na CCM kwa watanzania.
TuntemekeSanga;
Laiti mwenye jina hilo angekuwa na uwezo kusema. Tunamkumbuka, alivyokuwa anaizuia shilingi mpaka waziri wa wizara husika anajibu kisawasawa. Leo mawaziri wanajibu ka watakavyo tena kwa dharau kuubwa ati swali limetoka upinzani.
To the point.
Nasema, hakuna jinsi ccm wataepuka shutuma hizi. Marekani walianzisha Al-Qaida. Wakiwa na nia nzuri tu. Walipokuja kumng'oa Mrusi, jamaa wakawageuka.
Tz tuliona mabomu yakitupwa makanisani na mikutanoni Arusha. CCM waka kebehi kuwa ni Mbowe alijirushia kutaka umaarufu. Mpaka leo kile ni kitendawili.
Leo, tunasema Chagonja kajilipua mwenyewe, hakuna gaidi. Kwani picha ya askari wetu aliye umizwa kwa nini wasiruhusu tumwone? Mbona wale vijana walio nyang'anywa bunduki mliruhusu wakapigwa picha. Hao wa leo zitaungua???
Tumemchoka Chagonja ni vitu vyake vizito. Tumemchoka na bomu kurushwa na upinzani.
Nkisema hivyo mwasema ati ni uchochezi. Uchochezi ni kuficha habari, kiu ya kuipata hiyo habari itawaua watu wenye mapenzi mema.
Ushabiki wako kwa hilo lichama hauna mantiki kabisaaaaa
Hapa CHADEMA wamepinga nini,CHADEMA wamepinga magaidi kukamatwa?Funguka.Uroho wa madaraka unawafanya CHADEMA kupinga kila jema linalofanywa na CCM kwa watanzania.
Uroho wa madaraka unawafanya CHADEMA kupinga kila jema linalofanywa na CCM kwa watanzania.
Mkuu;
Naamini hii busara hapa chini itakusaidia sana,wewe pamoja na wenzako.
Mahala fulani huko Kakonko-Kigoma (mwaka jana) yalivumbuliwa mabomu mazito na wananchi waliokuwa wakichimba mtaro wa maji.
JW waliitwa kuja kuyategua. Teh! yaani Raia walijazana hapo kama vile wako Uwanja wa Taifa kwenye maadhimisho fulani(pamoja na onyo/kalipio lililokuwa likitolewa).
Usijaribu kuonja sumu kwa kuiramba. Hata Nigeria yalianza hivihivi, "critical-thinkers" kama nyie wakawa wanayajadili easily tu kama hivi nakuhusisha matukio na propaganda za serikali tawala.
And what is going on now over there, i can not mention it as you also aware of it.
Thanks!
Mh!
Hilo nalo neno Mkuu. Lakini ktk issue hii, si vyema kufanya mzaha na kubeza mapambano yanayofanywa n
a DOLA huko Tanga & maeneo mengine.
It is going to cost the Country.
Mkuu unapokuwa umeaminiwa na jamii kwa kiwango kama CCM ilivyokuwa imeaminiwa na watz basi inatakiwa uheshimu sana wanaokuamini, ulinde imani hiyo na uwe na mpango wa kuimarisha. Lakini ukianza kuitumia vibaya kwa maslahi binafsi ni wazi imani hiyo itatoweka na ikitoweka imani ya jamii kwako basi kila kitu huwa kigumu kwako.
Bahati mbaya CCM wanaendelea na tabia yao ya siasa za maji taka sasa wewe subiri mwisho wake, wanaccm ndio watakuwa waathirika nambari moja japo tutaathirika wengi pia. Yaani CCM wanataka waendelee kufanya madudu halafu watu wavumilie tu kwasababu eti mabadiliko yanaweza kuvunja amani, hicho kitu hakiwezekani na sasa inaonesha watu wanayahitaji mabadiliko bila kujali yatakuwa ya aina gani. Hivyo ccm walitakiwa kwasasa watii mahitaji ya jamii wasichelewe kama walivyochukua muda mrefu huko Zanzibar, na kimsingi rasimu ya warioba ndio ilikuwa mwanzo mzuri na walichotakiwa wakifanye ccm ni kuziongezea nguvu taasisi za muungano lakini sio kuvuruga structure nzima.
Mkuu Chakaza tuiombee nchi yetu dhidi ya huu uhuni unaotaka kufanywa na hawa wahuni. Hapo kwenye rangi haiingii akilini mtu atoe kauli mbili ambazo kwa kweli zinaacha maswali mengi sana kwa Wananchi. Rais wa nchi yuko wapi kwenye swala hili ili azungumze nini kinachoendelea?Au kama kawaida hayamhusu anaendelea kupiga kimya tu huku kukiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu.
Nani anabeza? Hivi kwa akili yako hiyo yakuvukia Barbara unaonaje police kuwa na nguvu yakudhibiti maandamano ya Amani yasiyo na silaha na kushindwa kudhibiti majambazi au ugaidi wenye madhara kwa watu?
Mbona kwenye maandamano huonesha mbwembwe za silaha nzito then wanatetemeshwa na watu wanne tu?
Dhamana iliyopewa serikali kulinda usalama iko wapi ikiwa police wanasalimu amri kwa majambazi??
CCM na viongozi dhaifu ndio wanaoigharimu nchi kwakushabikia na kutenda upuuzi...
Mwigullu alionesha shupavu Sana wa kupambana na ugaidi na inaonesha aliutamani Sana mbona sasa anashindwa? Simnaweza kuwajua na kuwafichua magaidi mbona hawa mnawashindwa??
Teh!
Nikushauri upumzike kwanza. Ukiamka kesho, hope fahamu zitakurudi.
Kama kesho utakuwa na hayahaya unayoyasema, basi tumuombe Mungu waingie hao unaoamini watafanya zaid ya hawa waliopo(CCM).
Ki'roho safi tu mkuu.
mangatara
Ninyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.