kisaka victpr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 657
- 116
Unajivamia,unajiteka,unajitorosha,unajisaka na hatimaye unatangaza kujitafuta kwa udi na uvumba.Matukio yote haya haya hayana majina ya waathirika.Kweli siasa zimefikia mahala pake!Tutashuhudia mengi 2015.
Ninyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.

Duh, kweli Tanzania ni balaa. Magaidi wamejitokeza siku moja tu wameshambulia alafu wametokomea. Cha ajabu sasa, gaidi Kavaa yebo yebo! Mungu nipe uzima nizidi kuona mengi mwaka huu
Ninyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.
Watu wameharibika akili na maadili, serikali ya wananchi kwa ajili ya wananchi haiwezi kuja na senema ya namna hii