Chagonja amdhalilisha mbowe na watanzania waishio kariakoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chagonja amdhalilisha mbowe na watanzania waishio kariakoo

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MIGNON, Jun 6, 2011.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Nimemuona kamishna wa operation na mafunzo wa Polisi Bw.Chagonja akielezea kuhusu kukamatwa kwa Mbowe.

  Napenda nimkumbushe tukio dogo tu mabalo halijasahaulika nalo ni kushindwa kumkamata Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala licha hakimu kutoa amri ya kukamatwa.

  Pia ameshindwa kujibu hoja ya kwa nini kibali kiliomwa ofisi ya bunge kabla ya kumhoji Mbunge wa CCM toka Shinyanga?

  Unawapa wapinzani umaarufu ukiamini kuwa unakisaidia Chama tawala,Pole sana!!!!!
   
 2. U

  Ugweno Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaongea pumba nyingi sana,moja aliyonisikitisha aliposema Mbowe anafanya mambo ya kihuni kama vile mtu wa kariakoo!nashindwa kujua kawachukuliaje watu wa kariakoo na endapo anapofananisha watu wa kariakoo na kutotumia akili tafsiri ya haraka anazungumzia walalahoi maana ndio wengi wanaopatikana kariakoo!shame on him
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hivi hawa watu huwa wanawatoa wapi, huyu chagonja mbona uwezi wake wa kufikiri ni mdogo kiasi kile.
   
 4. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani viongozi wengi wnaotekeleza maagizo huwa ni mandina fulani tu
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Chagonja must be crazy
   
 6. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Anasema alitimiza maagizo ya mahakama, japo hasemi mamlaka ya kumwita Mbowe mhuni anayatoa wapi. Alitakiwa tu kutuambia kwamba aliagizwa kumkamata period. Inasikitisha sana kiongozi wa nafasi yake anashabikia mambo asyopaswa kufanya. VIONGOZI WA NAMNA HII NI JANGA LA KITAIFA:glasses-nerdy:
   
 7. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa ni vipofu kuanzia mzee wa kaya mpaka mtendaji kata, hawawezi kuudanganya umma wa Tanzania kwamba ndivyo sheria zinavyofanya kazi hapa Nchini, au labda angesema kuna double standard tungemwelewa
   
 8. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mwache aendelee kujipa moyo na kulipa fadhila kwa waliomtuna,nimemwona akimwaga mkwara mkali kweli kweli utafikiri yupo na watoto wadogo.Mabomu ya machozi kwetu ni kama perfume amuulize Andengenye kuhusu Arusha.Ndio maana Halima Mdee leo kamuumbua mkubwa mmoja wapo mahakamani.
   
 9. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  We need philosopher-kings wa Plato na sio hawa artisans wanatumia appetites badala ya vichwa. So sad kwa kiongozi kuwa mtu wa namna ya Chagonja:confused2:
   
 10. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Inanikumbusha Principles of Management
  hasa kwenye conflicts management that solution for Cronic complainers is to assign them task to perform.Nina uhakika hapa mnao toa matusi machafu kwa Chagonja mkikabidhiwa nafasi yake inawezakuwa vituko vya dunia.Kosoa hasa ukiwa na uwezo wa kukosoa sio kwa sababu ni mkumbo kuwa ukipondea ndio unaonyesha ni kamanda hasaa wa CDM na genious kuliko wote ambao hawaoni mantiki ya upuuzi wako.
   
 11. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Mkuu!
  Ndio hapo unapopima busara inayotoka midomoni mwao unashindwa kuelewa uwezo wao wa ufahamu wa mambo na kujitambua kwao kwamba wana nafasi gani katika nchi yetu. Wanaongea kana kwamba wananchi wote tupo katika kambi za polisi na wote hatuna haki ya kuhoji ukweli wa kauli zao.

  Kwa kauli zao, naanza kuamini pasipo kua na shaka kwamba mauaji ya Tarime yalitekelezwa kwa kufuata ushauri wa viongozi kama hawa ambao wanajiamini wako sahihi muda wote kiasi kwamba hawathubutu kupima kauli zao zinapokelewa vipi na jamii.

  Viongozi wa namna hii nawafananisha na Kamanda Zombe ambaye alijiona Mungu mtu enzi zake lakini kibao kilivyomgeukia na kuonja joto la jiwe, nae sasa analishutumu jeshi la polisi kwamba halitendi haki wakati akiwa kundini aliona kila kitu kiko sawa.

  .
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  watastaafu na kujiunga nasi kwenye kulima mchicha halfu tutwauliza waliyatumiaje madaraka yao?
   
 13. D

  DENYO JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama jeshi la polisi linategemea viongozi kama chagonja basi tumekwisha -mimi napendekeza wanasheria wa chadema wamfungulie mashitaka ya kudhalilisha kwa maneno aliyoyatoa kibaraka wa ccm chagonja kwa kumwita mbowe mhuni, na kudhalilisha watu wa kariakooo-afunguliwe defarmation case ili ajifunze jisnsi ya kuongea na vyombo vya habari sio kukurupuka na kuongea na waandishi atazoea vibaya na ukibaraka wake. Yeye alipaswa kusema jeshi la polisi lilikuwa likitekeleza amri ya mahakama basi-sio kusema mbowe mhuni na bila kusema watanzania waishio kariakoo ni hovyohovyo, huyu ni kiongozi wa juu kabisa wa chombo cha usalama anadaharau watanzania wa kariakoo je wale wa kule kasulu?
   
 14. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  anasema kashindwa kuhudhuria mahakaman bila sababu. Hv inawezekana?
   
 15. D

  DENYO JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimesikitikishwa saana nilipoangalia taarifa ya habari leo kumwona na kumsikia kiongozi mkubwa na ngazi za juu wa dola ambaye hapaswi kuwa kibaraka wa ccm -kuweka wazi kwamba yeye ni kibaraka wa ccm na kumwita mh.mbowe kuwa ni mhuni na kudai kuwa anafanya mambo ya kihuni kama ya watanzania waishio kariakoo. Shida yangu mimi sio kumfananisha mbowe na watanzania waishio kariakoo manake kwa hali mbaya tuliyonayo tunataka viongozi wanaofanana na sisi tunaoishi kariakoo na kutambua shida zetu. Kilichonisikitisha ni jinsi ambavyo chagonja alivyoshindwa kutumia nafasi yake vizuri kwa kumdhalilisha mwenyekiti wa kitaifa wa chadema mwenye cheo sawa na rais jakaya. Nilipata wasiwasi kuhusu wa kiongozi mkubwa wa dola kutokuwa makini na kauli zake kiasi hicho.
  Napendekeza
  1. Wanasheria na wasomi tukemee viongozi waliolewa madaraka kama huyu
  2. Wanasheria wa chadema wamfungulie mashitaka kamishana huyu kwa udhalilishaji
  3. Niwaombe viongozi wetu kujitambua manake unafiki utawapeleka pabaya jamii ikiwakataa kwa kuacha kufanya kazi zao na kuwa vibaraka.
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Inauma lakini ndio hivyo,
  Their days are numbered
   
 17. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  amejaa ushuzi, kamanda gani ana kitambi? huyu ni mtafuna mali ya umma na Jeshi la polisi ndio mgodi wake.
   
 18. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimemsikiliza nilidhani ni mgonjwa wa akili. Eti anamchimbia mkwara kiongozi wa upinzani bungeni, kweli kujipendekeza kunashusha watu heshima sana.

  Lakini pia naona kwamba wamegundua kwamba wamechemsha, wanajaribu kujisafisha Kama walivyokuwa wanafanya baada ya mauaji ya arusha.

  Amejitosa kutoa kauli nani kamuuliza? Manumbu naye niliona anajipendekeza kujisafisha

  Wamwombe andengenye awape semina elekezi, ameshika adabu hadi matakoni
   
 19. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #19
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie mwenyewe nilimsikiliza yule mzee kisha nikatemea chini.hawa ndio viongozi wanaofikilia kukalia kiti cha uongozi mpaka siku zote za maisha yao.nwy,acha macho yatizame tu!!
   
 20. z

  zamlock JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ukimfuatilia kwa umakini utamkuta hana shule atakuwa na four ile ya kuunga unga hakika nawambieni kwa umri wake ni wachache sana ambao waliingia pikisi wakiwa na elimu jaribuni kusaka cv yake hakika mtapata majibu ni mpuuzi
   
Loading...