Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 584
- 644
CHADEMA, FINEST LAWYERS, UBUNGE EAC NA KISA CHA MSHAMBA MJIVUNI
Kukataliwa kwa majina ya wagombea ubunge wa Bunge la A. Mashariki kutoka CHADEMA na badala yake kutakiwa kurekebisha kasoro kadhaa tena za kisheria kumenichekesha sana!
Ni cheko la huzuni ninapokumbuka hiki ndio chama ambacho mawakili wake wanambwembwe sana; wakishinda kakesi utasikia mitandaoni "we are the finest lawyers" wakishindwa "kimya."
Sasa leo hili wanalo wako kimyaaaaa
Kwa mujibu wa Katibu wa Bunge, bila mbwembwe, amezitaja kasoro kadhaa za kisheria ktk mchakato wa Chadema kuteua wagombea wake kuwa ni pamoja na:
1. Uteuzi haujazingatia jinsia ili kuwezesha utekelezaji wa masharti ya Kifungu cha 4(4) cha Sheria ya Uchaguzi wa Wajumbe wa Bunge la Afrika Mashariki (The East African Legislative Assembly Elections Act, 2011) ya angalau theluthi moja (1/3) ya wajumbe 9 ioneshe uwepo wa jinsia zote mbili.
Tatizo la hawa jamaa ni ujivuni wakati nyumba yai imejaa kunguni.
Hapo vipi finest lawyers hamkuona hivyo vifungu? Chama hakina uongozi yaani pwaya mbaya tu bado tu hamumkumbuki Dkt Slaa???
Jamaa hawa bado sana.Wamenikumbusha kisa cha yule mshamba mjivuni aliyeaibika mjini.Nitawaeleza kisa chake wiki hii hii maana naona kama linakuja lingine la kuwaaibisha zaidi.
By Political jurist, UDOM