Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Jamaa hawa wana chuki binafsi dhidi raisi wetu mpaka zinawageukia, yaani kila wakija na chuki zao Mungu ndo anatuzidishia Baraka tena kwa fujo, hivi majuzi tena waliendeleza chuki zao dhidi ya Magufuli wetu na propaganda zao kibao mara sijui Baa la njaa, mara sijui watu wetu wanakufa njaa, haya sasa siku chache baadaye Mungu kawageukia Mvua zinanyesha kwa fujo nchi nzima ni green tupu, ...
Baada ya Raisi wetu kutembelea Kagera walifikiri Watanzania watamchukia kwa hilo wakaanza propaganda zao na chuki, Raisi Magufuli ndo kwanza anakubalika na kupendwa kuliko!
Chadema, Zito &Co. alikutangulia kakutangualia tu, na hapa Pombe Magufuli (PhD) ndiyo Raisi wa JMTZ, chuki dhidi yake zitawarudia tu wenyewe!
chadema, Zito wakiona hii picha wanaweza hata kufa leo kwa chuki!