CHADEMA zingatieni ujumbe huu

CHADEMA zingatieni ujumbe huu

Kwanza kabisa napenda kuwatakia Jumapili njema wana Great thinkers. Pia mimi ni UVCCM lengo la kuanzisha uzi huu ni kutoa ushauri kwa CHADEMA na Vyama vingine vya Upinzani wafanye mambo ambayo yana manufaa kwa wananchi na sio vinginevyo.

Hapo wakishirikiana na Serikali iliyopo madarakani katika kuleta maendeleo mbalimbali kwa wananchi katika Nchi yetu ya Tanzania. Nimeandika uzi huu nikiwa kama kijana mwenye kuipenda nchi yangu ikisonga mbele.

Mara nyingi vyma vya Upinzani hasa wale Chadema wao mara nyingi hupinga hata mambo ya msingi ya kulijenga Taifa letu. Hii haitaweza kutuweka katika uchumi wa kati. CCM wanajaribu kujenga lakini wenzetu wapinzani kazi yao ni kupinga as if they have mandatory in this country.

Please nawaomba sana wapinzani tuunge mkono juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi na Serikali iliyopo madarakani. Jaribuni hata kubuni Shule, Kiwanja au NGO's kwa jina au brand ya Chadema. Maana naona viwanja, Shule Ccm, Soko Com na vingine kibao taifa hili ni vya Ccm.

Sijawahi kusikia hiki ni Chadema. Hivi nyie sio wabunifu mpaka muwe hamna kitu na kazi yenu kuu ni kupinga tuuuu? Zingatieni ushauri wangu. Naomba tena mzingatie ushauri wangu. Mnafikiri kama Chama kubwa Ccm kitakapoamua kupumzika kuwa madarakani nyie Ukawa na Chadema yenu mtaanzia wapi kuliongoza Taifa hili la Tanzania? Kusuka au kunyoa ni maamuzi yenu.

Ahsante sana kwa kusoma l
Mungu tubariki sisi sote na Taifa letu.
Mbariki pia na Rais wetu Kipenzi Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Ungekuwa na uwezo wa kufikiri usingeandika huu upuuzi, ndy nyie mliotufikisha hapa
 
Unajidanganya kwa uelewa wako mdogo unadhani kuna jipya mnafanya? Tambua mnarekebisha mliyoyaharibu japo hamtafanikiwa kwa asilimia 60 kwani 1. mmeiharibu nchi kwa miaka 31 tokea Mwinyi kwa hamuwezi kufanikiwa kwa miaka 10 au 10!! 2. Wapiga deal wenu wanatawaangusha kwani wanatamani mlikotoka 2. Siyo rahisi kupata maendeleo hasa ya watu kama tutaendelea kutegemea kudra na fikra za rais pekee kufanya maamuzi na siyo mifumo dhabiti ya kitaasisi na kitafiti 4. Uchumi utakuwa kitakwimu tu na si katika maisha ya watu, ,ukisema uchumi umekuwa au kuimarika bila kuboresha masrahi na mishahara ya watumishi wako ni kujidanganya au kujitekenya ili ucheke!! 3. Kuwa na taifa la kipato cha kati ni lazima uwekeze katika rasmali watu , kupanua wigo wa ajira serikalini, sekta binafsi na kujiajiri na si kubana matumizi kwa kubana ajira .4. Ukutaka kuwa na uchumi endelevu wa viwanda bila kutambua kuwa soko namba moja la ndani no kujidanganya. Sasa watu wako zaidi 60% ni maskini wa kipato, wafanyakazi unawapa mishahara duni iliyojaa makato na kila ukitaka unaongeza makato ...utahatarisha ustawi wa viwanda na nchi!! 5. Kuto rasmisha sekta binafsi na kuzimamia kwa umakini ili kuleta tija si tu katika kodi bali ktk mambo ya huajiri na mikataba ya ajira!! Sijaona kiongozi au waziri ndani ta CCM mwenye maono haya!!!
 
hata nikikuliza una kuku wangapi utasema huna hata moja japo ardhi ya tanzania ni kubwa sana na mahali pa kufugia ni pakubwa!! ulitaka CCM ikujengee kibanda cha kuku?
Mimi nipo vizuri, Ila naongelea mustakabali wa watanzania in general
 
Kwanza kabisa napenda kuwatakia Jumapili njema wana Great thinkers. Pia mimi ni UVCCM lengo la kuanzisha uzi huu ni kutoa ushauri kwa CHADEMA na Vyama vingine vya Upinzani wafanye mambo ambayo yana manufaa kwa wananchi na sio vinginevyo.

Hapo wakishirikiana na Serikali iliyopo madarakani katika kuleta maendeleo mbalimbali kwa wananchi katika Nchi yetu ya Tanzania. Nimeandika uzi huu nikiwa kama kijana mwenye kuipenda nchi yangu ikisonga mbele.

Mara nyingi vyma vya Upinzani hasa wale Chadema wao mara nyingi hupinga hata mambo ya msingi ya kulijenga Taifa letu. Hii haitaweza kutuweka katika uchumi wa kati. CCM wanajaribu kujenga lakini wenzetu wapinzani kazi yao ni kupinga as if they have mandatory in this country.

Please nawaomba sana wapinzani tuunge mkono juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi na Serikali iliyopo madarakani. Jaribuni hata kubuni Shule, Kiwanja au NGO's kwa jina au brand ya Chadema. Maana naona viwanja, Shule Ccm, Soko Com na vingine kibao taifa hili ni vya Ccm.

Sijawahi kusikia hiki ni Chadema. Hivi nyie sio wabunifu mpaka muwe hamna kitu na kazi yenu kuu ni kupinga tuuuu? Zingatieni ushauri wangu. Naomba tena mzingatie ushauri wangu. Mnafikiri kama Chama kubwa Ccm kitakapoamua kupumzika kuwa madarakani nyie Ukawa na Chadema yenu mtaanzia wapi kuliongoza Taifa hili la Tanzania? Kusuka au kunyoa ni maamuzi yenu.

Ahsante sana kwa kusoma l
Mungu tubariki sisi sote na Taifa letu.
Mbariki pia na Rais wetu Kipenzi Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Ni vema kabla ya kujiunga humu jf mkatuwekea kijiutaratibu hata cha kutupima akili .
 
Majizi chadema mwambieni Mbowe alipe Deni la Nhc na pia alipe wafanyakazi wa gazeti la Tanzania daima.

Mwambieni aache maigizo ya kukata, funua na kushika ukuta
 
Asante sana kada mwenzangu wa Chama pendwa....sasa hawa nyumbu badala ya kukushukuru watajikita kutoa mapovu.....Naipenda CCM mpaka naumwa.

Kwani na wewe mgao wa hela ya rambi rambi umekupitia? Ila kama Mungu aishivyo laana hii itawatafuna mpaka siku mnaingia kaburini.
 
Kwanza kabisa napenda kuwatakia Jumapili njema wana Great thinkers. Pia mimi ni UVCCM lengo la kuanzisha uzi huu ni kutoa ushauri kwa CHADEMA na Vyama vingine vya Upinzani wafanye mambo ambayo yana manufaa kwa wananchi na sio vinginevyo.

Hapo wakishirikiana na Serikali iliyopo madarakani katika kuleta maendeleo mbalimbali kwa wananchi katika Nchi yetu ya Tanzania. Nimeandika uzi huu nikiwa kama kijana mwenye kuipenda nchi yangu ikisonga mbele.

Mara nyingi vyma vya Upinzani hasa wale Chadema wao mara nyingi hupinga hata mambo ya msingi ya kulijenga Taifa letu. Hii haitaweza kutuweka katika uchumi wa kati. CCM wanajaribu kujenga lakini wenzetu wapinzani kazi yao ni kupinga as if they have mandatory in this country.

Please nawaomba sana wapinzani tuunge mkono juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi na Serikali iliyopo madarakani. Jaribuni hata kubuni Shule, Kiwanja au NGO's kwa jina au brand ya Chadema. Maana naona viwanja, Shule Ccm, Soko Com na vingine kibao taifa hili ni vya Ccm.

Sijawahi kusikia hiki ni Chadema. Hivi nyie sio wabunifu mpaka muwe hamna kitu na kazi yenu kuu ni kupinga tuuuu? Zingatieni ushauri wangu. Naomba tena mzingatie ushauri wangu. Mnafikiri kama Chama kubwa Ccm kitakapoamua kupumzika kuwa madarakani nyie Ukawa na Chadema yenu mtaanzia wapi kuliongoza Taifa hili la Tanzania? Kusuka au kunyoa ni maamuzi yenu.

Ahsante sana kwa kusoma l
Mungu tubariki sisi sote na Taifa letu.
Mbariki pia na Rais wetu Kipenzi Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Si uome msaada kwa heshima?Unaomba msaada hku unajifanya unajua?Watakuacha km Lema sasa haombi msamaha, hataki tena awekewe dhamana, atahudhuria mahakamani na kurudi, sasa mtajua wenyewe nanma ya kumtoa, kumwacha ni mbaya ,kumtoa ni mbaya.Kazi kwenu. Chadema washirikiane vipi na CCM, Chadema ni Digitali CCM ni mechanical. Ndio maana mmeiga mawazo yao mmechemsha.
 
Back
Top Bottom