Ni chama kikuu Tz lakini nashangaa nguvu zake zaidi kaelekaza Tanzania bara tena katika mikoa ya kaskazini vipi kuhusu Z'bar hamna haja na urais 2015 kwani CCM na CUF hazina mvuto tena, sera zao zimepitwa na wakati hasa CCM juu ya sera zake za muungano
Sina hakika kama we mzima. Lakini kwamba umetumwa nina uhakika. Sasa refer mkutano wa M4C jana Viwanja vya Tabata Kimanga unajibu hoja yako. Then kachukue mkwanja wako huko kwa magamba.Ni chama kikuu Tz lakini nashangaa nguvu zake zaidi kaelekaza Tanzania bara tena katika mikoa ya kaskazini vipi kuhusu Z'bar hamna haja na urais 2015 kwani CCM na CUF hazina mvuto tena, sera zao zimepitwa na wakati hasa CCM juu ya sera zake za muungano