CHADEMA yote Kimya, mpaka rais Magufuli aongee!!

CHADEMA yote Kimya, mpaka rais Magufuli aongee!!

tapatalk_1502726210226.jpeg
 
Sumaye aliitwa Mr. Zero kwa mambo ya kutopenda kufikiri. Kweli Wema alimdharirisha mstaafu wetu.
Ndugu Fredrick T. Sumaye amekuwa press secretary wa Wema Sepetu.
Alianza kazi rasmi mwezi huu wa August 2017 siku Wema alitakiwa kupewa kadi ya chadema lakini akaenda kwenye kesi yake.

" I like Mr. ZERO the way he is positioned"
 
Sasa siasa za Tanzania zimefika pabaya sana. Tumebaki wachache tunaojitambua kwa sasa.

Nauliza tu kuwa kwa vile Mkuu wa nchi hajaongea chochote hata CHADEMA nao hawahoji chochote. Hii ina maana sana kisiasa.

Upinzani unacheza mchezo wa kisiasa wa JPM bila kujijua.

Wengine watakataa ila ukweli upo juu ya matamko ya CHADEAM yaliyotolewa na makamanda wa Chama hivi karibu wakiongozwa na:
1. Kamanda Wema Sepetu;
2. Kamanda Tundu Lissu;
3. Kamanda Mbowe, mzee wa gia za angani.

Wengine wamekosa ya kusema kwa sasa, akiwepo
1. Kamanda Lema;
2. Kamanda Msigwa na
3. Kamanda Mdee

Je tutafika kama wapinzani wa kweli?

Kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa wapumbavu.
 
bora wakae kimya, maana hata wakiongea wanaishia kutukana tu.
 
Ohhh!!! Kweli mzee kapotea. Kuna ahadi zinasubiriwa na maasikofu na Mashehe mpaka sasa. Tunaomba CHADEMA tumkomboe.
hela iliishia uchaguzi, juzi kakopa kwenda kenya kujikomba kwa uhuru

kwani umesikia anatoa misaada makanisani?
 
wamemnyamazisha magufuli alikuwa anajitanunuatanua mabega kwa vile walikuwa wanamsoma wameanza kumzaba za uso kashikwa woga mpaka mtu asiyejaribiwa anaomba wau msamaha hadharani ujuwe kaisha kabisa
 
Back
Top Bottom