CHADEMA yote Kimya, mpaka rais Magufuli aongee!!

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Sasa siasa za Tanzania zimefika pabaya sana. Tumebaki wachache tunaojitambua kwa sasa.

Nauliza tu kuwa kwa vile Mkuu wa nchi hajaongea chochote hata CHADEMA nao hawahoji chochote. Hii ina maana sana kisiasa.

Upinzani unacheza mchezo wa kisiasa wa JPM bila kujijua.

Wengine watakataa ila ukweli upo juu ya matamko ya CHADEAM yaliyotolewa na makamanda wa Chama hivi karibu wakiongozwa na:
1. Kamanda Wema Sepetu;
2. Kamanda Tundu Lissu;
3. Kamanda Mbowe, mzee wa gia za angani.

Wengine wamekosa ya kusema kwa sasa, akiwepo
1. Kamanda Lema;
2. Kamanda Msigwa na
3. Kamanda Mdee

Je tutafika kama wapinzani wa kweli?
 
Vipi mkemia mkuu amekosa mkojo wa kujaribu zile apparatus mpya nini?
 
Sasa siasa za Tanzania zimefika pabaya sana. Tumebaki wachache tunaojitambua kwa sasa.

Nauliza tu kuwa kwa vile Mkuu wa nchi hajaongea chochote hata CHADEMA nao hawahoji chochote. Hii ina maana sana kisiasa.

Upinzani unacheza mchezo wa kisiasa wa JPM bila kujijua.

Wengine watakataa ila ukweli upo juu ya matamko ya CHADEAM yaliyotolewa na makamanda wa Chama hivi karibu wakiongozwa na:
1. Kamanda Wema Sepetu;
2. Kamanda Tundu Lissu;
3. Kamanda Mbowe, mzee wa gia za angani.

Wengine wamekosa ya kusema kwa sasa, akiwepo
1. Kamanda Lema;
2. Kamanda Msigwa na
3. Kamanda Mdee

Je tutafika kama wapinzani wa kweli?

Kha Kweli makamanda Mmejipanga... [HASHTAG]#flytokiababy[/HASHTAG]
 
wakikaa kimya mnasema, wakiongea napo mnasema, binadamu bana
 
na bado kifo cha mende kinawamendea mpaka 2020 hamtokuwepo katika uso wa siasa za Tanzania.

ACT oyeeee.
 
Dereva wa Lori hataki kupewa ushauri yupo bize kuhamisha mahakimu na kuwashughulikia wote waliomalizwa kushughulikiwa mjengoni😀😀😀
 
Sasa siasa za Tanzania zimefika pabaya sana. Tumebaki wachache tunaojitambua kwa sasa.

Nauliza tu kuwa kwa vile Mkuu wa nchi hajaongea chochote hata CHADEMA nao hawahoji chochote. Hii ina maana sana kisiasa.

Upinzani unacheza mchezo wa kisiasa wa JPM bila kujijua.

Wengine watakataa ila ukweli upo juu ya matamko ya CHADEAM yaliyotolewa na makamanda wa Chama hivi karibu wakiongozwa na:
1. Kamanda Wema Sepetu;
2. Kamanda Tundu Lissu;
3. Kamanda Mbowe, mzee wa gia za angani.

Wengine wamekosa ya kusema kwa sasa, akiwepo
1. Kamanda Lema;
2. Kamanda Msigwa na
3. Kamanda Mdee

Je tutafika kama wapinzani wa kweli?
Yah makamanda na wapinzani wa kweli tutafika
Ila wewe mnafiki na bongo lala ndio hutafika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakiongea na vyombo vya habari mnawaita wachochezi, wakifanya mikutano ya njee au ndani mnawatia nguvuni, wakikaa kimya nalo nitatizo, hiki kizazi cha Lumumba sijui nani aliyekiloga.
 
Mkuu, unajua wazi kuwa rais JPM ana platform pana na muda mwingi wa kusema alitakalo hata la ki-chama kupitia kofia ya urais kinyume na upinzani ambao umewekewa limit ya kuzungumza na watanzania kuwa ni kwenye majimbo yao na katika media tu.

Laiti nao wangeruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara kitaifa inawezekana JPM ndiye angekuwa anajibu mapigo ya wapinzani.

Unapotaka kupigana na mwenzio huku umemfunga kamba mikono unaweza kumuuliza "mbona hupigani?"
 
Unataka kuaminisha wasomaji kwamba wewe ni kamanda wa CDM. Ila bahati mbaya ni kwamba vidole, akili na moyo wako havina ushirikiano.
 
Hiyo kazi ya kushinda jf. Nina mashaka na attitude yako.
 
Wee unaonyesha ni masklni wa hali ya juu kupindukia /kuanza tabia yako mpako roho yako /jahazi linakwenda mlama hili wee unataka kutu aminisha jambo gani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa siasa za Tanzania zimefika pabaya sana. Tumebaki wachache tunaojitambua kwa sasa.

Nauliza tu kuwa kwa vile Mkuu wa nchi hajaongea chochote hata CHADEMA nao hawahoji chochote. Hii ina maana sana kisiasa.

Upinzani unacheza mchezo wa kisiasa wa JPM bila kujijua.

Wengine watakataa ila ukweli upo juu ya matamko ya CHADEAM yaliyotolewa na makamanda wa Chama hivi karibu wakiongozwa na:
1. Kamanda Wema Sepetu;
2. Kamanda Tundu Lissu;
3. Kamanda Mbowe, mzee wa gia za angani.

Wengine wamekosa ya kusema kwa sasa, akiwepo
1. Kamanda Lema;
2. Kamanda Msigwa na
3. Kamanda Mdee

Je tutafika kama wapinzani wa kweli?

Ndugu Fredrick T. Sumaye amekuwa press secretary wa Wema Sepetu.
Alianza kazi rasmi mwezi huu wa August 2017 siku Wema alitakiwa kupewa kadi ya chadema lakini akaenda kwenye kesi yake.

" I like Mr. ZERO the way he is positioned"
 
Back
Top Bottom