Unaposema mazingira ni kubwa kuliko tabia nchi una maana kuwa kila kinachohusiana na mazingira kisiwe na sera yake bali kiwekwe ndani ya sera ya mazingira?
Then tusiwe na kilimo, uvuvi, makazi, nk, bali vyote viwekwe kwenye environmental management, sio?
Wewe FaizaFoxy ndiye punguani mara mbili. Unajiaminisha kuwa kwa kuwa Tanzania inapewa ela za kutunza mazingira basi sera yake ni perfect. Hizo links ulizoonyesha na zingine nimezisoma hata kabla hujaweka hapa. Mathalani hakuna sehemu yoyote inayobainisha ni kwa vipi nchi itamodulate maendeleo ya viwanda ikizingatia mabadiliko ya tabia nchi. Vivyo hivyo kwa ukuaji wa miji achilia mbali mapinduzi ya kilimo. Kama ipo iweke hapa. Siilaumu kwani najua kwa kipingi ilichoandikwa mabadiliko nchi hayakuwa na uzito kama sasa.
Mimi sitetei sera ya CDM maana hata sijaiona. Ndio maana nimesema nasubiri kuisoma ili kujua kama imeaddress mahitaji ya sasa ya masuala ya mabadiliko ya tabia nchi...
Kusoma kwako kote hujaona kuwa Tanzania kabla ya ujenzi wa kiwanda au mradi wowote ule mkubwa ni lazima kufanyike "Environmental Impact Assessment"? toka sera hiyo iwepo?
Hujawahi kusoma kuwa Mengi alikuwa Mwenyekiti wa kamati ipi? na hiyo kamati ilitokana na nini? na imeshawahi kufungia viwanda na hata mahoteli ya Kitalii?
Kama hujaliona hilo basi kusoma kwako kuna walakin.
EIA inayofanyika Tz kwa sasa haitoi zingatio la kutosha kwenye issue ya climate change. Yes, NEMC inajitahidi kuimplement sheria ya mazingira kwa kiasi chake, lakini bado hakuna sera wala sheria inayoendana na viwango vya kimataifa kwa sasa. Najua umeshatembelea nchi kadhaa FF, unajua kuwa katika baadhi ya nchi walizo serious kiwanda chochote kinawajibika kuwekeza kiasi fulani (kilichopangwa) katika measures za kupunguza hewa ukaa kama vile kupanda miti na kuwezesha taasisi za serikali na zisizo za serikali zinazojihusisha na climate change mitigation. Kiwango cha Kodi tozo mbalimbali inazolipa kiwanda chochote zinazingatia kiasi cha green house gases kiwanda inachozalisha per unit time na hayo yameelezwa bayana katika sera za nchi husika. Nionyeshe ni wapi sera za Tz zimezingatia hayo...

Background and Justification: The Environmental Management Act (2004)
provides for preparation of NEAP in every five years. The NEAP
elaborates the implementation of the National Policy Agenda in its totality.
Furthermore, Sector Ministries and Local Government Authorities are
obliged to prepare Environmental Action Plans, in conformity with the
NEAP. Since the preparation of the first NEAP in 1994, many environmental
challenges have emerged or intensified including climate change, modern
biotechnology, biofuels, Invasive Alien Species (IAS), and Electronic Waste
( E-Waste). Cognisant of the adverse impacts of these challenges to the
environment and human health, revision of the NEAP became necessary
in order to, among others, address these emerging environmental issues.
Source: http://www.vpo.go.tz/userfiles/NEAP B5.pdf
Kusoma kwako kote hujaona kuwa Tanzania kabla ya ujenzi wa kiwanda au mradi wowote ule mkubwa ni lazima kufanyike "Environmental Impact Assessment"? toka sera hiyo iwepo?
Hujawahi kusoma kuwa Mengi alikuwa Mwenyekiti wa kamati ipi? na hiyo kamati ilitokana na nini? na imeshawahi kufungia viwanda na hata mahoteli ya Kitalii?
Kama hujaliona hilo basi kusoma kwako kuna walakin.
Usilazimishe kwamba natetea sera ya CDM. Mimi hiyo sera ya CDM wala sijasoma. Pili huwezi kuniaminisha kwamba tulipofikia hatuhitaji sera ya kudhibiti viwanda kwenye suala la GHGs kwa sababu hatuna viwanda vikubwa. Je tusubiri hadi viwepo ndipo.NEAP ifanyiwe marekebisho? Sio sahihi. Na tatu mimi ni mmojawapo wa watu walioshiriki kudispose "hazina" ya tani kadhaa za non-degradable chemicals zilizokuwa zimehifadhiwa sehemu mbalimbali nchini kwa miaka mingi. Tulikosa maandiko yeyote nchini yaliyoelekeza jinsi ya kudili na vitu kama hivyo na tukalazimika kusarisha madawa yale kupeleka Ujerumani kuharibiwa. Zaidi ya bilioni 1 ela za Watz ziliungulia hapo... Tuna mapungufu FF usikatae...Kijana ninapokwambia kuwa Serikali inalishughulikia suala hilo toka zamani huwa sikisii, tena sera niliyokuambia kwanza ni ya 1997 lakini Action Plan za kila miaka mitano zilikuwapo toka 1994, endelea;
Na ni obligation ya wizara zote na serikali ndogo kuwa na plan hiyo.
Vui leo iwe ni Sera ya chadema? makubwa haya!
Usilazimishe kwamba natetea sera ya CDM. Mimi hiyo sera ya CDM wala sijasoma. Pili huwezi kuniaminisha kwamba tulipofikia hatuhitaji sera ya kudhibiti viwanda kwenye suala la GHGs kwa sababu hatuna viwanda vikubwa. Je tusubiri hadi viwepo ndipo.NEAP ifanyiwe marekebisho? Sio sahihi. Na tatu mimi ni mmojawapo wa watu walioshiriki kudispose "hazina" ya tani kadhaa za non-degradable chemicals zilizokuwa zimehifadhiwa sehemu mbalimbali nchini kwa miaka mingi. Tulikosa maandiko yeyote nchini yaliyoelekeza jinsi ya kudili na vitu kama hivyo na tukalazimika kusarisha madawa yale kupeleka Ujerumani kuharibiwa. Zaidi ya bilioni 1 ela za Watz ziliungulia hapo... Tuna mapungufu FF usikatae...
Yakhee kama we wajua ilipo hiyoo sera. Basi njulishe na mie nisomee...Sasa watakatuambia wewe wafuata habari za kusikia kwanini usichukue muda kusoma kitu na baada ya hapo ndo upaze sauti ya utetezi juu ya ukisemajcho?
Lakini naelekea kupata mashaka na kuamini kuwa ninyi ni watu wa kuamriwa tu nanyi mnakuwa ni watu wa NDIYOOOOO.......