A akide Member Joined Jun 5, 2012 Posts 11 Reaction score 1 Jun 6, 2012 #1 Jamani Mtwara kumezinduka, Mungu mkubwa hukomboa waja wake kwa wakati wake, miaka mitano iliyopita Watu wa Mtwara walikuwa mbali na ukweli, hawakutaka kuukubali ukweli kwamba wanateseka na maisha ya sasa, watch out in 2015.
Jamani Mtwara kumezinduka, Mungu mkubwa hukomboa waja wake kwa wakati wake, miaka mitano iliyopita Watu wa Mtwara walikuwa mbali na ukweli, hawakutaka kuukubali ukweli kwamba wanateseka na maisha ya sasa, watch out in 2015.
7 7son Senior Member Joined May 24, 2012 Posts 177 Reaction score 36 Jun 6, 2012 #2 kweli kazi ilifanyika kama ilivyokusudiwa, Mungu wetu sote na anatupenda sote ndo mana kawaonesha nuru watu wa mtwara. Peoplessssssssssss
kweli kazi ilifanyika kama ilivyokusudiwa, Mungu wetu sote na anatupenda sote ndo mana kawaonesha nuru watu wa mtwara. Peoplessssssssssss
Shinto JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 1,781 Reaction score 98 Jun 6, 2012 #3 Nuru ni CHADEMA? Phew! Hata siku moja wamakonde hawewezi kununuliwa na wachagga!
Kiby JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 6,933 Reaction score 4,706 Jun 6, 2012 #4 Free World said: Nuru ni CHADEMA? Phew! Hata siku moja wamakonde hawewezi kununuliwa na wachagga! Click to expand... . Na huo ndio mchango wako kwa jamii kwa hii tred? Basi tumekwisha!! .
Free World said: Nuru ni CHADEMA? Phew! Hata siku moja wamakonde hawewezi kununuliwa na wachagga! Click to expand... . Na huo ndio mchango wako kwa jamii kwa hii tred? Basi tumekwisha!! .
K KIMBULU Member Joined Apr 2, 2012 Posts 19 Reaction score 3 Jun 6, 2012 #5 Huku ni kufirisika sera! Nyerere alikuwa sahihi. Watu badala ya kuongelea sera , mwingine anangalia ukabila ktka karne ya 21 kweli???
Huku ni kufirisika sera! Nyerere alikuwa sahihi. Watu badala ya kuongelea sera , mwingine anangalia ukabila ktka karne ya 21 kweli???
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Jun 6, 2012 #6 weka picha tafadhali
R ralphjn Senior Member Joined Jun 1, 2012 Posts 169 Reaction score 31 Jun 6, 2012 #7 KIMBULU said: Huku ni kufirisika sera! Nyerere alikuwa sahihi. Watu badala ya kuongelea sera , mwingine anangalia ukabila ktka karne ya 21 kweli??? Click to expand... Huyu na UAMSHO hawana tofauti.
KIMBULU said: Huku ni kufirisika sera! Nyerere alikuwa sahihi. Watu badala ya kuongelea sera , mwingine anangalia ukabila ktka karne ya 21 kweli??? Click to expand... Huyu na UAMSHO hawana tofauti.
E ebrah JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 396 Reaction score 50 Jun 6, 2012 #8 Hureeeee! Peeeeeeeople's
A Aristides Pastory JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 348 Reaction score 60 Jun 6, 2012 #9 People's power!
Jamani mbona si poa Member Joined Mar 6, 2012 Posts 48 Reaction score 3 Jun 6, 2012 #10 teeeeteteteeeee teteteee
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Jun 6, 2012 #11 Free World said: Nuru ni CHADEMA? Phew! Hata siku moja wamakonde hawewezi kununuliwa na wachagga! Click to expand... Kweli wewe ni free walking ZOMBIE...
Free World said: Nuru ni CHADEMA? Phew! Hata siku moja wamakonde hawewezi kununuliwa na wachagga! Click to expand... Kweli wewe ni free walking ZOMBIE...