CHADEMA yazidi kuporomoka Kanda ya ziwa

CHADEMA yazidi kuporomoka Kanda ya ziwa

Kanda ya Ziwa ya Ziwa gani hiyo, ile iliyomtandika kibao Masha na mwenzake Diallo au ile ya Lumumba? Sisi ndio tunaishi Kanda ya Ziwa halisi. Ni kwamba baada ya kutagaza bei ya pamba kuwa 750 imeongeza kasi ya watu wa Kanda hii kuipa kisogo Ccm. Ni hivi, kazi anayoifanya Mawazo kwa staili yake mpya ya "kimya kimya" anaenda kuifuta ccm Kanda ya Ziwa.Leo hii Kanda yote inapepea bendera ya cdm.
 
Kumekuwa na mkutano mkubwa karibia vijiji vyote vya mkoa wa shinyanga. Kumekuwa na adhimio la pamoja la kuikataa CHADEMA.

Mkutano huo mkubwa wa mkoa wa shinyanga na baadhi ya vijiji vya mkoa wa mwanza vinavyopakana na shinyanga.

Watu wameikataa CDM na kudai kuwa ni chama cha kiraghai.
Mkutano huo uliodumu kwa mda wa masaa matatu katita Kata ya salawe.
Wamekubaliana wataunga na kuwashauri wenzao mikoa ya Mwanza, Geita, Tabora, Simiyu, Kigoma, Bukoba na Sumbawanga Kukikataa Chama cha kiraghai.

Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe.

Sijui leo Brazil itashinda?
 
Duhh..mkutano ni wa vijiji .........vita kuwa vikubwa San mpaka viwe na ushawishi kwenye maeneo ambayo hawajawahi kufika Acha kuwajua ......
 
Hao waliohudhuria mkutano huo ni walewale vilaza wa kijani na manjano. Mbona mi naipo maeneo hayo sina taarifa hizo? Acha kupotosha watanzania. Kauze udaga wewe.
 
Kumekuwa na mkutano mkubwa karibia vijiji vyote vya mkoa wa shinyanga. Kumekuwa na adhimio la pamoja la kuikataa CHADEMA.

Mkutano huo mkubwa wa mkoa wa shinyanga na baadhi ya vijiji vya mkoa wa mwanza vinavyopakana na shinyanga.

Watu wameikataa CDM na kudai kuwa ni chama cha kiraghai.
Mkutano huo uliodumu kwa mda wa masaa matatu katita Kata ya salawe.
Wamekubaliana wataunga na kuwashauri wenzao mikoa ya Mwanza, Geita, Tabora, Simiyu, Kigoma, Bukoba na Sumbawanga Kukikataa Chama cha kiraghai.

Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe.

Waganga njaa utawajua wakifunua midomo yao, wanaongea yaliyo moyoni kama msalani
 
wenye akili timamu wote wapo chadema ccm wote vilaza.
 
Wtaikataaje chadema wakati ccm imewapiga hivyo?pamba hoi,dhahabu inachimbwa geita hawana Maji ya bomba,mji umejaa vumbi mpaka kwenye meno ya wtu,kanda nzima hakuna ata taasisi ya vyuo vikuu vya serikali,WANa mbuga ya serengeti lakini wenye kujua ubora Wa mbuga Wako Dar wanapunga upepo,tarme Nyamongo wakuria wamebaki hoi hawkanyagi mgodini wamebaki kuiba ng'ombe za wajaluo na kupeleka Kenya sasa waikatae chadema kwa sbbu zp wkti ccm wamewachina
 
Nawashauri viongozi wa ccm, kama CHADEMA inakera kiasi hiki, basi andaeni muswada na kuupeleka Bungeni tena kwa "Hati ya Dharula" muswada wenye maudhui ya kukifuta chama hiki tu. Vingine baadaye. Au kama vipi vifutwe vyote kabisa kibakie ccm ili kuondoa usumbufu kwa viongozi wetu wa kitaifa hapo siku za usoni. Hebu tutumie uwingi wetu kwa maslahi ya chama kwanza, vingine baadaye. Na kwasababu ya majority mle ndani, muswada huu utapita vizuri tu na kuwa sheria. Kwani tunamuogopa nani bana?
 
Du ukizoea kutawala ni hatari,hata yesu wakati anaingia parestine,caesar alichukizwa sana kuona anapata wafuasi wengi,wakamuua kwa kutumia kibaraka mpenda fedha yuda!
Tunao wasaliti wengi nchi hii
 
ccm mwisho wao umeshakaribia ukiona wanajadili sana chadema ijue wanakikubali
 
Huyu nadhani nanyimwa unyumba na mkewe aleta hasira CDM.Hata wakikataa mziki wake hawawezi kuuzima.
 
Baada ya kuvuna dengu na mazao mengine wakijiandaa na sherehe za bulabo. Walikusanyika kwa pamoja na kuandaa kauli mbiu ya kukomesha unafiki wa wanasiasa.

Mmoja wa waliohudhuria akijitambulisha kwa jina la Luhega alitoa tamko zito akisema "Hivi kwanini kanda ya ziwa hakuna viongozi wa ngazi ya juu ndani ya chadema? Tulimpata kijana shupavu Zitto katika ukata wetu lakini wamemtendea hila. Aliendelea kusema lazima kuna ajenda ya siri katika chama hiki. Tusipuuzie lazima tuungane pamoja tukipinge"

Kwa hiyo hao wananchi waliweka azimio la kukataa chama cha kilaghai CHADEMA bila kuamua mbadala ni chama gani?

Kwa kuwa wamehuzunika na hila kwa kijana wao Zitto Kabwe, mbadala ni nani?
 
Last edited by a moderator:
Hee! Wasukuma wakikukataa ujue Theluthi moja ya Nchi imekukataa, poleni sana Chadema hili ni pigo kubwa sana kwenu.
 
Kumekuwa na mkutano mkubwa karibia vijiji vyote vya mkoa wa shinyanga. Kumekuwa na adhimio la pamoja la kuikataa CHADEMA.

Mkutano huo mkubwa wa mkoa wa shinyanga na baadhi ya vijiji vya mkoa wa mwanza vinavyopakana na shinyanga.

Watu wameikataa CDM na kudai kuwa ni chama cha kiraghai.
Mkutano huo uliodumu kwa mda wa masaa matatu katita Kata ya salawe.
Wamekubaliana wataunga na kuwashauri wenzao mikoa ya Mwanza, Geita, Tabora, Simiyu, Kigoma, Bukoba na Sumbawanga Kukikataa Chama cha kiraghai.

Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe.

Mleta uzi hapo kwenye red ihusuyo utaratibuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom