Halafu wamehoji kuwa kwanini Slaa hajaoa. wanahofia kuibiwa wake zao.
Teh teh teh teh ...Ungewaambia siku hizi anamiliki hawara, lakini ni mke wa mtu.Halafu wamehoji kuwa kwanini Slaa hajaoa. wanahofia kuibiwa wake zao.
It is rediculous, you cant be serious. Shida kubwa ya JF ni kila mtu anaweza kuposti kila kitu, hata takataka.
Sawale ndio kanda ya ziwa? Umetisha mkuu.Kumekuwa na mkutano mkubwa karibia vijiji vyote vya mkoa wa shinyanga. Kumekuwa na adhimio la pamoja la kuikataa CHADEMA.
Mkutano huo mkubwa wa mkoa wa shinyanga na baadhi ya vijiji vya mkoa wa mwanza vinavyopakana na shinyanga.
Watu wameikataa CDM na kudai kuwa ni chama cha kiraghai.
Mkutano huo uliodumu kwa mda wa masaa matatu katita Kata ya salawe.
Wamekubaliana wataunga na kuwashauri wenzao mikoa ya Mwanza, Geita, Tabora, Simiyu, Kigoma, Bukoba na Sumbawanga Kukikataa Chama cha kiraghai.
Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe.
Teh teh teh teh ...Ungewaambia siku hizi anamiliki hawara, lakini ni mke wa mtu.
Safi sana JF, hata std7 anapost na kusomwa na mamia ya watu. Wakati mods wakilala..Halafu wamehoji kuwa kwanini Slaa hajaoa. wanahofia kuibiwa wake zao.
hakika mkuu ila tusubiri umma unasema nini tusijekuwa tunasumuka sana hapa jamvini kumbe umma uana jibu tofauti na ss hebu tuupe umma nafasi ili tujue ukweli uko wapi? umma utatusaidia kumaliza haya malubano hpa jamvini sote tutafuata kile watanzania wanachokitaka tukatae leo ila tujue knakuja na hatutaweza kukizuiaKanda ya Ziwa siku zote ni werevu, mara nyingi sio watu wa kufuata Mkumbo, kwa hilo hata mimi nawapongeza sana.
Mimi wala sihitaji kujibishana na wewe. Subiri sukukuu ya bulabo uje utembelee ujionee mwenyewe mimi wala sina haja ya kubishana na wewe.
Watu hawaitaki CDM kanda ya ziwa. Wanasema hawataki wageni kuwatawala. Waliendelea kusema sungusungu iimarishwe ili watu waongo waongo na waraghai wawe wanapata adhabu.
Kumekuwa na mkutano mkubwa karibia vijiji vyote vya mkoa wa shinyanga. Kumekuwa na adhimio la pamoja la kuikataa CHADEMA.