Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,961
Kumekuwa na mkutano mkubwa karibia vijiji vyote vya mkoa wa shinyanga. Kumekuwa na adhimio la pamoja la kuikataa CHADEMA.
Mkutano huo mkubwa wa mkoa wa shinyanga na baadhi ya vijiji vya mkoa wa mwanza vinavyopakana na shinyanga.
Watu wameikataa CDM na kudai kuwa ni chama cha kiraghai.
Mkutano huo uliodumu kwa mda wa masaa matatu katita Kata ya salawe.
Wamekubaliana wataunga na kuwashauri wenzao mikoa ya Mwanza, Geita, Tabora, Simiyu, Kigoma, Bukoba na Sumbawanga Kukikataa Chama cha kiraghai.
Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe.