Chadema yazidi kung'ara vyuoni

Chadema yazidi kung'ara vyuoni

SUBE2021

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
348
Reaction score
103
Chadema imezidi kuonesha kukubalika vyuoni baada ya matokeo ya Uchaguzi wa Rais Serikali ya wanafunzi Taasi ya Ustawi wa Jamii kumwangusha vibaya sana kada wa CCM na UVCCM pamoja na nguvu ya chama tawala na mahela Yao machafu. Watu wameamua kusema kwa sauti zao wenyewe. Kama kawaida yetu Huwa Tunaanza na Mungu na Kumaliza na Mungu. Na kilicho mwangusha kada wa Magamba ni Ile baada ya watu kujua Ana kadi za CHECHEMEE na Jumuhiya zake. SAUTI YA MUNGU NDIYO YA WATU. Watu wakakamavu na watafuta maendeleo wanapiga Gwanda. VIVA USTAWI WA JAMII Kwa kuimarisha umoja na kudhihirisha kuwa Magamba hayana nafasi. Tumpe nguvu rais wetu tuchape kazi
 
Mabadiliko yanakuja kwa kasi wenye magamba Yao walie tu
 
Umeona ehe mabomu Yao na mapoliCCM wao yatashindwa wananchi washachoka hicho chama
 
Hongereeni mlio vyuo vya ukweli democrasia inazngatiwa, hapa uhasibu arusha uchaguzi wake sawa na Head Prefect wa secondary, no vyama wala ndugu yake....
 
Hata vyuo vingine hakuna vyama Bali watu wake wana vyama. Kibaya ni kujulikana wewe ni magamba utadondoshwa vibaya
 
pipoooooooooooooooooooooooz poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!
 
Mabadiliko yanakuja kwa kasi wenye magamba Yao walie tu

HAKIKA:::: Kabla jogoo halijawika Gambaz litakuwa chali limesalm amri .. Damu mliyomwaga Olasiti na Soweto itawalumbua daima ... Mungu wetu anaita, Mungu wetu si wa mzaha..Vvivaaa ustawi wa jamii.
 
Hakuna lisilowezekana jamani!


Viva Chama cha Demokrasia na Maendeleo!
 
HAKIKA:::: Kabla jogoo
halijawika Gambaz litakuwa chali limesalm amri .. Damu mliyomwaga
Olasiti na Soweto itawalumbua daima ... Mungu wetu anaita, Mungu wetu si
wa mzaha..Vvivaaa ustawi wa jamii.



Mikono na Mioyo ya Gamba inanuka damu ... ya wa hanga Mwangosi, Dr Uli, maumivu na vilema wa arusha, iringa, mtwara ... hakika mtamtambua Mungu tunaye anza na kumaliza naye ... subirini huu ni mwanzo
 
Yaani Damu za watu zitawasaliti CCM na kama walikataa wenyewe kuyavua magwanda sasa wanavuliwa kwa nguvu za umma yaani peoples power. This is what M4C Entails
 
aiseeeeee babayanu ngoja nijikamatie kadi yangu ya chadema kabla hazijaisha pipooooooooooo
 
Hongereni sana, moto wa mabadiliko ukipigwa risasi ni kuuchochea badala ya kuuzima!
 
ibilisi ccm,polisiccm,tbccm,cufccm,nccrccm,tlpccm,adccm,cckccm.
 
Back
Top Bottom