Roga Roga
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 655
- 507
Tangu umalizike uchaguzi mkuu 2010 na CCM kushindwa kutoa ajira kwa vijana kama walivyokuwa wanawahadaa wa Tanganyika na Wazanzibari ,hali imekuwa tofauti kwa chama cha Chadema. Kupitia humu Jamiiforums vijana wengi wasiojitambua na wenye njaa kali kama Faiza foxy, chris Lukosi, ritz 1, simiyu yetu, erycyrote, mtela mwampamba, Juliana shonza na wengine wengi ambao nikisema niwataje sitawamaliza wamekuwa wakipigana vikumbo kupost mada ambazo hazina msingi eti kuuaminisha uma chadema imekufa,chadema imeshuka,nk ili tu wahakikishe buku 7 inaingia kinywani. Wastani wa post kwa niliowataja hapo juu ni post 6 mpaka 10 kwa siku. Hongera Chadema kwa kuwa chanzo cha mapato na ajira kwa vijana ambao serikali ya CCM imeshindwa kabisa.