Chadema yazidi kugawa ajira kwa vijana nchini

Chadema yazidi kugawa ajira kwa vijana nchini

Unamsema mwenzio anashinda JF kutuma post wakati wewe hujioni?
hivi unalipwa sh. ngapi pale ufipa kwa kupost utumbo huku jf? muda wote unashinda jamvini huna kazi nyingine ya kukuingizia kipato? ACT NI CHAMA MAKINI SANA
 
Khaa!! Ruzuku yote inaliwa na watu 4 tu pale ufipa!! Halafu ndiyo mnatoa ajira..kafieni mbele huko!
 
Erythrocyte samahani,nimekuelewa sana. Sisi ni wazalendo tunapigana kwa ajiri ya chama, hawa gamba niwachumia tumbo wanapigana vikumbo wapate buku 7 per day, sawa na 210,000 per month
 
Wanaishi kwa kutamani 7000 wanasahau watu walivyo komba pesa mpaka shirika la bima kufa ahaaa kwann unasahau EPA, RICH MOND unataman elfu.
 
Tangu umalizike uchaguzi mkuu 2010 na CCM kushindwa kutoa ajira kwa vijana kama walivyokuwa wanawahadaa wa Tanganyika na Wazanzibari ,hali imekuwa tofauti kwa chama cha Chadema. Kupitia humu Jamiiforums vijana wengi wasiojitambua na wenye njaa kali kama Faiza foxy, chris Lukosi, ritz 1, simiyu yetu, erycyrote, mtela mwampamba, Juliana shonza na wengine wengi ambao nikisema niwataje sitawamaliza wamekuwa wakipigana vikumbo kupost mada ambazo hazina msingi eti kuuaminisha uma chadema imekufa,chadema imeshuka,nk ili tu wahakikishe buku 7 inaingia kinywani. Wastani wa post kwa niliowataja hapo juu ni post 6 mpaka 10 kwa siku. Hongera Chadema kwa kuwa chanzo cha mapato na ajira kwa vijana ambao serikali ya CCM imeshindwa kabisa.

asante kwa taarifa ya ukweli
 
Hawa wanataka kumkata albino wa watu kisa alitakakupiga kura ya siri?.
hawa laana itawatafuna kwenye katiba feki wanayotaka kuwachomekea wananchi.
 
shughuli gani wewe zaidi ya kutumika kumwagia watu tindikali na kuwalisha sumu, manyang'au nyie

ccm imebakiwa kutetewa na wake wa viongozi wake tu ! ( Sababu zinajulikana ) JE WEWE NI MKE WA NANI ?
 
Back
Top Bottom