Hata Waitara mlimtukana pia...Sasa kama huyo mchumia tumbo atakuwa mkurugenzi wa mafunzo Na Benson Kigaila atakuwa Nani Sasa?Hizi story za abunuwasi utazipata fisiem tu maana wapo vichaa wanajifurahisha wakiingozwa Na kichaa mkuu...
Hakukuwahi kuwa na kiongozi wa Bavicha mwenye jina hilo Pale Hai , kuna kitu hukijui kuhusu huu utapeli , ni hivi , ndani ya chama chako kuna kikundi cha matapeli wanaopiga mpunga kwa kuleta viongozi feki wa Chadema , hii inatokana na Makao Makuu ya ccm kujaa viongozi WASHAMBA , hii ni kama wajanja walivyomtumia Makonda kuingiza mizigo bila kulipa ili wapige hela ( hapa sizungumzii makontena , huu ni mzigo mdogo sana ) ndio maana wapambe wa Makonda kama Le Mutuz na Jerry Murro wanakula bata daily.Joachim Mbowe alikuwa ni Takataka pia?
Waitara?Hakukuwahi kuwa na kiongozi wa Bavicha mwenye jina hilo Pale Hai , kuna kitu hukijui kuhusu huu utapeli , ni hivi , ndani ya chama chako kuna kikundi cha matapeli wanaopiga mpunga kwa kuleta viongozi feki wa Chadema , hii inatokana na Makao Makuu ya ccm kujaa viongozi WASHAMBA , hii ni kama wajanja walivyomtumia Makonda kuingiza mizigo bila kulipa ili wapige hela ( hapa sizungumzii makontena , huu ni mzigo mdogo sana ) ndio maana wapambe wa Makonda kama Le Mutuz na Jerry Murro wanakula bata daily.
Endelea kushangaa huku wenzako wanatumia ushamba wa viongozi kujineemesha , siku Magufuli akija kustuka atashangaa sana !
Vyama vya siasa ni itikadi philosophy na sera ndo zinazo vuta wanachama kujiunga kwahiyo chama hakiwezi kufa kwajiri ya mwana chama kukuhama wakati itkadi ya chama iko palepale, hata hakihama Mbowe chama kitabaki na wanachama wapya wataibuka. Kuna mifuano mingi tu.
Kwanini wanaenda CCM pekeyake hawaendi vyama vingine why.i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
#NyumbaniKumenoga
Mkuu, heshima sana! Hivi unamaanisha kwenye mada hii wametajwa wanaodaiwa kuhamia ccm lakini ikisemwa kuwa hakuna watu wa majina na nyadhifa hizo (sijui kama ni kweli) tugeuke na tuanze kumjadili waitara?!Waitara?
Pro Chadema wana tabia ya kutukana makamanda wao pindi wanapohama.Mwambie atutajie majina halisi ya wenye vyeo hivyo hapo CDM Kama hawa waliohama wanaitwa feki.Mkuu, heshima sana! Hivi unamaanisha kwenye mada hii wametajwa wanaodaiwa kuhamia ccm lakini ikisemwa kuwa hakuna watu wa majina na nyadhifa hizo (sijui kama ni kweli) tugeuke na tuanze kumjadili waitara?!
Wanaenda kuingia kwenye kitanzi cha gereza ndani ya kaburi la fikrai) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
#NyumbaniKumenoga
Nyumbu kumbe wanathamani kubwa ndo mana ccm wanahangaika mnoHata Kigaila ipo Siku tutamchukua tu!
So what??this silliest at highest leveli) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
#NyumbaniKumenoga
Ndio sababu zilizowavutia kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.Vyama vya siasa ni itikadi philosophy na sera ndo zinazo vuta wanachama kujiunga kwahiyo
Onyo kwa CCM. Naona wimbi hili linaendelea. Muda umekuwa mrefu nahisi, sasa CCM itapokea hata vibaraka wa kuja kuiumbua.i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
#NyumbaniKumenoga
Jiongopee tu, kwa kuwa umekula maharage na kubimbiwa!!na itapasuka ibaki vumbi hasa lile gofu lao la pale kinondoni