CHADEMA yawanasa Lowassa, Mwigulu

Hawa jamaa kete ya mabomu imewashinda sasa kete ya Mussa Tesha ya tindikali nayo chali sasa wanafukuzia wa machinga na boda boda lakini na hii itafail kweli kaburi linawanyemelea


Hiyo nayo mbona makapi tu ,walishaitumia huko Arusha na haikufua dafu ndiyo maana sasa hivi wanahasira sana na waendesha boda boda Arusha.

kwa Arusha sasa hivi wamehamia kwa madereva wa Noah.
 
Hii hoja haina mashiko kwani hawa jamaa kufanya harambee kuna shida gani kwa cdm mi naona mnalalamika kutafuta sympathy bila sababu,nyie kama mnakubalika kuna shida gani hapo.
 
Huyu mzee tu muda wake umeisha kwani sisi hatuta mchagua mgonjwa kuwa rais. Kuwa rais ni kutafuta kufa haraka kwani ataibua makubwa kuliko ya Richmund.
 
Nimejaribu kusoma mara tatu lakini bado sijaona cha ajabu. Siasa za CDM zinaonekana ni za kitoto sana kiasi kwamba wanaogopa hadi watu kurudisha kadi na kujiunga na vyama vingine. Jamani kuwa na kadi sio sababu kuwa utakipigia kura chenye hiyo kadi. Dr. Slaa ana kadi ya CCM mbona yeye ni CDM? Mnasema chama kinakubalika kisha mnaogopa mamluki? Huwa nina shaka sana na Demokrasia yenu, yaani imekua kama ya kulamishana vile. Msiogope bali chukulieni kua ni changamoto.
 
Mtalalamika mpaka lini? Chama cha dhifa ya kitaifa chama malalamiko kama mke mwenza

"To know the enemy is half the victory"
 
Hizo fedha ni halali yao wachukuwe kwani zimetokana na kodi zao,ila kama kawaida akili mkichwa.
 
Watanzania chukueni pesa ongezeni mitaji.
 
Atawanunua vijana wenye tamaa kama kina mwampamba,shoza,chris lukos, ila vijana wengi wa tz wanamsimamo. Huyo fisadi amewamaliza wote ktk chama chake kwa kuwawekea sumu na vitisho. Hadi kina mwakyembe wamesalim amri. Leo anautaka urais pamoja na uizi wake wote aliotuibia. Anatuhonga fedha ileile
 

Hupaswi kuishiwa nguvu kamanda.Mapambano huwa yana challenges zake,na ndio maana kunahitajika mshikamano katika kipindi kigumu, na hasa vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kupeana feedback na the way forward ili kuweza kuhakikisha kwamba muda wote watu wako focused and in line.

Hili la harambee kwa bodaboda sio geni,ameanza nalo Mulugo huko mbeya ili kuweza kumdhohofisha Sugu,limeenda Arusha limeshindwa, sema mwanza wameliboresha kwa kujaribu vifaa vya CHADEMA virudishwe ili kuteka watu wengi zaidi.

Nalo washauri CHADEMA ni kujipanga,kwani usitegemee adui yako atarelux wakati wewe unampiga.Ni lazima nayeye ajitetee, kumbukebni hii ni vita.Nikipata muda ntajitahidi niwepo kwenye hiyo Harambee ili niweze kujaribu kusoma mawili matatu,na ikibidi tubadilishane mawazo humu ndani.

Najua MM Mwanakijiji amekua down kwa ziara ya Obama,lakini najua wakati wa mapambano kuna muda mtu unachoka ,unapumzika kidogo then munkari ukuipanda unaendelea tena.So hatupaswi kukata tamaa, mpaka mwisho.Vikwazo huwa haviepukiki.
 
Hakika hamdanganyiki kwa vile wanamwanza sasa wameanza kuona uozo wa CDM, huku kulalamika kwenye jukwaa lenu hilin la JF ni dalili kuwa maji yamewafika shingoni, ila mmechelewa.
Acha fikra mgando we thatha kama Jamii Forum ni jukwaa la CHADEMA basi na wewe ni CHADEMA. Tatizo la maccm wengi akili zenu ni Za kuzimana tu.
 
Kweli akili ndogo!!!! Huo si uoga ila ni tahadhari, umakini na ukomavu katika mapambano. Na kwa nini kila wakati ccm ni unafiki wizi ugaidi udora nu uchafu tuuu!!! mmekwisha
kama ni hujuma tu mnaogopa nini? na kama siyo kweli kuwa hamkubaliki mnaogopa nini?
 
waache wahangaike, hizo ni hela zetu walizoiba kupitia Richmonduli na symbion, pokeeni wanazirejesha kwa mtindo tofauti. Mwanza si Monduli kwamba wananchi watabadilika waende Magamba na wala si Bagamoyo, Mwanza ni kwa wajanja na si makanjanja! Ila tu wawe makini na wake zao kama Nchemba naye atakuwepo!
 
Nimewaona wapambe wao jana pale coffee shop mwanza hotel, wamejazana wananunuliwa chakula cha usiku!
Huku wakimsifia eti 'rais ajaye!?'

Roho ikaniuma sana, ukiwaangalia hali zao, unasikitika! Lakin ndo wakipewa sahani ya chips na rost kuku na wengine bia, wanajitia wamesahau shida zao!

When they wake up, they will realize that it was just a dream!! A day dream!
 

Kuna msomi nilisha wahi kumsikia akisema Mwana CCM yeyote akisha jua anaweza kupitishwa na chama chake kuwa mgombea Urais kinachofuata sasa ni kupambana na Chadema kwani hata CCM hata kama wakimpitisha bado hawezi kushinda iwapo Chadema itakuwa kama hivi ilivyo
 
Kuishabikia ccm ni sawa na ku....kuu... shi..kii..shwa. ukuta...!!
 
Lowasa anataka kutumia umasikini wa chinga mwanza kujiimarisha, lakini kwa mwanza atakwama, aulize Muzinza Masha alivyo fanywa. Pesa yake wakaila na ubunge wakampa Wenje.
 
Jamani Lowasa ni wazuri Mkuu aliyeondolewa na kashfa ya ufisadi. Huyu Jamaa asiwe Mjinga Anadi sera na is maigizo. I hate Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…