Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,299
- 9,798
me nilifikiri nn? CCM Oyee!!!!!!!!!!!!
Angalia hii...Mlalamikaji wa CCM ni kutoka CHAGGALAND...Mlalamikiwa ni wa Chadema naye ni kutoka CHAGGALAND...hiyo serikali ya mtaa iko ArushaLand ambapo mbunge wake ni wa Chaggaland pia.Je hii ni ishara ya mbunge huyuhuyu wa Chaggaland kurudi tena bungeni...???
kuongoza mtaa

Watu kama wewe wanaowaza ubaguzi na ukabila tu.....ingetungwa sheria wapigwe risasi hadhari!! Wanairdisha nchi nyuma!!
Angalia hii...Mlalamikaji wa CCM ni kutoka CHAGGALAND...Mlalamikiwa ni wa Chadema naye ni kutoka CHAGGALAND...hiyo serikali ya mtaa iko ArushaLand ambapo mbunge wake ni wa Chaggaland pia.Je hii ni ishara ya mbunge huyuhuyu wa Chaggaland kurudi tena bungeni...???
Chadema hata kitongoji kwenu Ni agenda? Kazi kweli kweli
Mpu-mbavu wewe unayeacha ndama aliyetumbukia mtaroni aangamie kisa una ng'ombe wengine 99. Shangwe ni kwa ndama mmoja mdogo aliyeokolewa kuliko wale 99 wanaolisha uwandani. Una macho huoni, una masikio husikii!