CHADEMA yawa gumzo Mtwara

Propaganda tupu hakuna cha gumzo wala chochote, mtwara wataungaje Chama Chenye sear ya kuanzisha Jamhuri ya kaskazini ? Mtwara ni kusini watakuwaje sehemu ya jamhuri ya kaskazini?

Jifunike shuka mapema wewe, usije kumbuka asubuhi ukiwa umeshaumwa na mbu....Che!
 
NazDaz,unanichekesha sana! eti mimi ni bure kabisa...sawa bwana wewe ni wa kweli kabisa.
Kwanza nikiri hadharani kuwa wewe mimi si saizi yangu! Sikuwezi kwa kujenga hoja,pia nahisi umenizidi
elimu na hata umri...all in all nakuheshimu sana na huwa nafurahishwa sana na michango yako hapa jamvini.
Lakini leo nina sawali moja kwako -: Kwanini unaichukia Chadema? kunasiku nilikusoma hapa unasema 2015
unataka kwenda kugombea ubunge jimbo la mchinga huko kusini (but najua not through CDM) itakuwa CCM au CUF.
Sasa kwanini wewe unashindwa kusoma alama za nyakati? Kwasasa hakuna chama mbadala zaidi ya CDM! Mkuu
kagombee kupitia CDM na maandalizi yaanze leo hii kupitia uongozi wa CDM,wazee wa Mchinga na wakazi wote wa
Mchina. Nenda kaitangaze M4C kuanzia sasa na nakuhakikishia 2015 utaingia mjengoni...lakini bila kupitia CDM sahau
hicho kitu.
NOTE: Chadema siyo chama cha kikristo wala kasikazini,bali ni chama cha watanzania wote! achana na propaganda
za CCM mkuu!
 

Ukweli haupigiwi kura mkuu...!!!
 
Mtwara ni ya watu wa Mtwara, tunajuwa watu wa kaskazini mna CHADEMA yenuuuuu....

Hatuwataki, ni afadhali tuanzishe chama kingine kuliko CDM....... MTWARA 4 DEV FoUnD...
 
Mtwara ni ya watu wa Mtwara, tunajuwa watu wa kaskazini mna CHADEMA yenuuuuu....

Hatuwataki, ni afadhali tuanzishe chama kingine kuliko CDM....... MTWARA 4 DEV FoUnD...

Unapigana na upepo utachemsha bure...
 

Mkuu dont argue with this man.He is not a GT.Believe me.
 

Mchinga, CUF ina mizizi ya kutosha. Kwa jinsi ilivyo CUF Mchinga ndo ingekuwa CHADEMA, basi huenda ningefikiria kugombea kwa CDM na sio CUF. CHADEMA kama CHADEMA siichukii, bali nawachukia baadhi ya mashabiki wa CHADEMA ambao hawapo tayari kusikia mawazo yanayotofautiana na yao. Mashabiki hawa, hata CHADEMA wakifanya ujinga, basi wanataka lazima tu tuwapambe kwa mashada ya maua ya jasmini! UKisema kinyume kuhusu CHADEMA basi kitakachofuata hapo ni matusi.....huu ni ulimbukeni kwenye siasa na mara kwa mara nimekuwa nikiwa-refer kwamba ni mamluki wa kisiasa ambao ndio wanaozidi kuijengea picha mbaya CHADEMA! Mbaya zaidi, kuna baadhi ya viongozi wa CHADEMA ambao nao wanakuwa kama baadhi ya mashabiki hawa.

Jambo moja lipo wazi kwangu. Naweza kukaa meza moja na CCM na kuongea baadhi ya mambo na lugha zetu zikafanana; hususani katika kuzungumzia masuala ya TZ moja, isiyo na elements za udini, ukabila, jazba za kisiasa, uhuru wa maoni na mambo mengine kama hayo!! Likewise, sina shaka yoyote kwamba naweza nikakaa meza moja na CHADEMA na tukaongea baadhi ya mambo na vile vile tukaongea lugha zinazofanana; hususani katika kuzungumzia masuala ya uwajibikaji na vita dhidi ya rushwa, uzembe, wizi na ufisadi wa aina yoyote ile! Hapa sina shaka, lugha zetu zinaweza kufanana!
Hata hivyo, bado sijafahamu ni nini naweza kukaa meza moja na CUF kisha lugha zetu zikafanana! Labda tuamue kuzungumizia suala la umoja wa kitaifa kule ZNZ...hapa tunaweza kuelewana kwavile nawaunga mkono kwa hilo kwa 101% hata kama Pro-CHADEMA hamtaki hilo.....kwenu, siasa ni uhasama!

Hivyo, kwa kuzingatia hilo unaweza kupata picha kwamba endapo naenda mchinga naweza kupeperusha bendera gani. Nikipeperusha ya CCM, nitafanya hivyo huku nikisutwa kwa unafiki na katu siwezi kuwa happy unless kama lengo langu ni kupata ubunge ima faima! Kupeperusha ya CUF, hakuwezi kunipa furaha hata chembe. CHADEMA, skiwezi kufanya hivyo huku nikisutwa kwa unafiki la hasha bali nyakati fulani fulani naweza nisiwe happy kutokana na kauli na hata matendo ya viongozi na mashabiki wake!
 
Ni kawaida yao hao.Wanashinda humu JF ili kuwakera watu na kuwatafutia Ban.

Hata wewe mbona unashinda JF au ndio mambo ya Nyani..JF mtu yoyote akivunja sheria na kanuni anapigwa Ban, mie mwenyewe nimeishapigwa Ban zaidi ya mara 10 wewe Ban mara moja malalamiko kibao.
 
Haaaaa
Kwa hiyo Wachaga na Chama Chenu mmeamua kutafuta kutafuta eneo la kutawala Mtwara!!!!!!

Kama wew ni mmakonde basi kichwa chako ni kigumu..... CDM ni zaidi na uijuavyo. , nimeishi MOshi 4 yrs........ Ni hatari!!!!!

Mfano, huwezi kupata eneo la kujenga pale hata ukiwa bilionea la kutupwa, Mwalimu Nyerere aliwajuwa mapemaaaaaa



 
Mtu ukiwa kila mara unapenda kuchochea fujo za udini kwa watu wastaarabu watakudharau.
Sina mda wa kuchochea mambo ya kidini ungenijibu tu swalilangu sbb za kupiga mapambio umeshindwa kunijibu unanisingizia nachochea udini...ungekua ni mtihani umepewa ushafeli..sioni mantiki ya mkutano wa siasa zikapigwe mapambio Ndio maana watu wakisema ni chama cha kidini unanuna wakati mnawapa watu sababu za kusema
 

Kazi yako ni kuchunguza gari ya matangazo ya CDM inapiga mziki gani ili upate cha kukosoa.Kazi kweli kweli.Ndipo mtu unapoona ugumu wa kukamilisha ukombozi wa Taifa hili.
 
huu ndio uzuri wa kuanza na mungu na kutenda kazi kwa kumshirikisha mungu.
wao wana wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wana jeshi ila sisi tuna mungu!!!!
duh njema sana hiyo.....!!!!

maneno sampuli hii yataigharimu sana cdm! Wale wasioamini mung je?

ninyi kina nani?
 
maneno sampuli hii yataigharimu sana cdm! Wale wasioamini mung je?

ninyi kina nani?

CDM haina haja ya kuhofia chochote kwa kumtaja Mungu na tutaendelea kumtegemea yeye mpaka ukombozi utakapokamilika
 
 
 
shule hizi za kata zimeharibu wengi sana! Unaacha mada husika unarukia kutukana!! Anyway i never argue with fools like you!!

but you've dare arguing with a fool like ......!! haahaahaahaaaa kaazi kweli kweli!
 
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!

sitaki kuamini kuwa wewe ni kilaza namna hi,kama wangekuwa waelewa wangesafiria gari moshi mpaka leo?????!".watu kama nyie ni hatari sana kwenye jamii ya watanzania waliokwama kimaendeleo,nyie ndiomnawajaza ujinga watu wa mikoa ya kusini kwa maslahi yenu,na ndiyo sababu jamii hiyo imebaki nyuma kimaendeleo utafikiri si watanzania.shabiki hùu unaouleta hapa niwakijinga nakushauri tafuta mahali pake.
 
CDM haina haja ya kuhofia chochote kwa kumtaja Mungu na tutaendelea kumtegemea yeye mpaka ukombozi utakapokamilika

Molemo Rafiki yangu, una uhakika na unachokisema kweli?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…