CHADEMA yavunjavunja ngome ya CCM Same

Mawazo yako hayana tofauti na ya chama chako, mmekaa mnasubiria tu madaraka kutuibia, na wewe unapiga tu domokaya humu ili uyapate.hivi hamuoni tunawakataa?
We siku nyingine usihusishe watanzania wote na hao wahuni wa Chadema. Sema Chadema ni tumaini lako na mke wako na watotot wenu tu.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUIJUE TABIA YAKO".
 
Chadema tumaini jipya la watanzania.go,.go.,.go makamanda
 
Biashara yako unayo ifanya hapa ya kutuletea umagamba wako haina tija coz ni sawa na kuuza utumbo wa ng'ombe ulio kaa cku 3. This is a political tsunam, no one can block it.
 
Aluta continua CDM mpaka kieleweke. Mabilioni yanaliwa na wenye meno, ila 'wafanyakazi' kima chao cha chini ni 180, 000/= Watu lazima wahame!
 
Mungu awape afya, je na kwa mama W. J. Malecela watafika?
 
Uongo ukikithiri hata yule anaeuleta huuamini kuwa ni ukweli.

Sisi tunasema, chukuweni magamba makavu yanayopukutika yenyewe. Tupo ngunguri!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo!
Bomoa bomoa hii iendelee mpaka tujue mbivu na mbichi.

Baada ya hapo naomba M4C irudi hapa Arumeru Magharibi hakika Wanainchi wamechoka kbs na chama cha majambazi na hata pale makao makuu ya ccm pale kwa EL ni ya kuibomoa bomoa kbs.

Viva CDM,hakika wao wana pesa na sisi tuna MUNGU aliye hai sasa na hata milele!
 
we siku nyingine usihusishe watanzania wote na hao wahuni wa chadema. Sema chadema ni tumaini lako na mke wako na watotot wenu tu.
.
"madaraka humbadilisha mtu, yapate kwanza ndipo tuijue tabia yako".

huoni aibu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Una jora la t-shirt za kijani na njano home?
 

Huyu jamaa kwenye red ni bomu sana;wakati anakuja kwa mara ya kwanza kutaka ateuliwe agombee makeke meengi..ila amebaki kuwa mtu wa kuwanunulia sukari wazee kila anapokuwa na vikao,hata umeme kusambaza unamshinda nguzo zinakaa mpaka Tanesco wanabeba kuondoa..mi naona Bora M4C ichukue mkondo wake..na kwa takwimu tu ni kuwa wilaya ya same ndio ambayo katika mkoa wa kilimanjaro iko nyuma kwa aspect tofauti za maendeleo na pia kambi ya magamba!waokoeni wana same na rasilimali zinazoenda kuuzwa Kenya.
 
nyoka anapigwa kichwani ili afe msipige kwenye mkia.waje tu maccopolo bado inanafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…