CHADEMA yatosha!

nchi hii bila CDM kikwete angesha fukuzwa CCM, maana hajawahi kuwa na maamuzi hadi asikie CDM ina taja wahalifu,

rejea Epa, mizigo n.k
 
Kweli mwanangu tuko pamoja.
 
Baada ya CHADEMA kufanya chaguzi zake kwa ufasaha, bila kutumia rushwa wala kutengeneza makundi chamani, utawasikia magamba wanakuja kuweweseka humu badala ya kuiga mfano bora wa CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…