minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Acha ushamba kwani hujui kuwa kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali? Upinzani lazima upinge mapungufu yote pasipo kuyabagua, usitegemee wapinzani kuwafagilia kwa lolote bayaCHADEMA kazi yao ni kupinga tu kila kitu sishangai