Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Mheshimiwa Mbowe pole sana, hivi unafikiri haki huja ndani ya sinia? kama haluwa, haki Hupiganiwa, CCM ni Mavuvuzela hawasikii maneno wanataka Vitendo.Mwenyekiti Nguvu ya Umma ndio dawa pekee yahawa CCM Kuhesahimu haki za Watu. vyenginevyo msitarajie kwa ulioyataka kama hata utajibiwa zaidi utabezwa na kukejeliwa na hasa kwakuwa tayari asubuhi mshaonyesha kutokubaliana ndani ya Chama chenu huo ni Udhaifu Mkubwa sana Kusiasa kwani hamjapea hata kidogo, maamuzi ya kikao leo yamo Magazetini tena Mtowaji ni Naibu Katibu Mkuu? inasikitisha Tafadhalini sana sana Msitufanyie Usaniii na Kutuchezea SINEMA sisi Tuna matazizo Mengi ambayo tunahisi nyie tuliowapa KURA Mutatusimamia Vyenginevyo Tutakupigeni kwa MAWE na Kukuondoweni katika Chama.ILI waingie bungeni, wabunge wa Chadema wameweka masharti ambayo yakitekelezwa na Serikali watakuwa hawana tatizo tena.
Masharti hayo kwa mujibu wa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ni Serikali kutoa tamko kuhusu hoja yao ya kutungwa Katiba mpya, kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi na kutoa msimamo juu ya madai ya kukiukwa kwa taratibu za uchaguzi mkuu wa hivi karibuni.
Katika mahojiano maalumu na HABARILEO jana, Mbowe alisema: Matendo ya leo yanaleta matukio ya kesho.
Suala la msimamo wetu kushiriki vikao vya Bunge lijalo utategemea na mapokeo ya hoja zetu.
Kwa sisi kugomea hotuba ya Rais, tunajua ujumbe wetu umefika kwa wahusika wakiwamo bwana mkubwa mwenyewe (Rais Kikwete), viongozi wa mashirika na taasisi mbalimbali na mabalozi, kuonesha kuwa kuna tatizo la msingi ambalo Chadema inataka lishughulikiwe.
Tunajua kuna watu wameudhika, na tunajua kuwa hatukumfurahisha Rais, lakini ujumbe wetu umefika.
Kuna baadhi ya watu wamepotosha kuwa tunampinga Rais. Haikuwa nia yetu kutaka avuliwe urais au aondolewe ofisini, tulitaka aone kuwa kuna tatizo ambalo linatakiwa kushughulikiwa na yeye ndiye mhusika.
Mbowe alisema hoja ya kwanza ya Chadema ni kuona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya
itakayoliwezesha Taifa kujenga misingi imara ya demokrasia na kuifanya nchi kuwa na amani, itakayokalika na kila mtu bila kujali kabila, dini au chama chake cha siasa.
Tunataka Katiba ambayo itamfanya kila Mtanzania aishi kwa amani na upendo, mfano mzuri ni Zanzibar, walikuwa na tatizo kama hilo lakini sasa wamelishughulikia, kwa kuwa na Katiba nzuri na wamekubaliana kuendesha mambo yao si unaona kila mtu anafurahia hili na wote wanaishi kwa amani kabisa? alihoji.
Mbowe alisema kilio chao cha pili ni kuundwa kwa Tume ya Uchaguzi iliyo huru ili kufanya uchaguzi ujao usiwe na dosari.
Ndiyo uchaguzi umekwisha, lakini tunataka Tume ya Uchaguzi iliyo huru, hatutaki kasoro zilizojitokeza uchaguzi huu zijitokeze katika uchaguzi mwingine, hatutaki Tume ambayo mpaka watu waandamane au wakeshe ndipo watangaze matokeo.
Alisema hoja ya tatu ni kuundwa kwa Tume huru itayochunguza malalamiko yao kuhusu kasoro zilizojitokeza kwenye uchaguzi mkuu na kutoa mapendekezo ya kufanyiwa kazi dosari zitakazokuwa zimebainishwa.
Tuna madai ya msingi kabisa, na tumetumia njia hiyo ili kufikisha ujumbe wetu kwa kufuata taratibu na tumewasilisha kilio chetu kwa amani kabisa, hatujatukana mtu, lakini baadhi ya watu wanatubeza na wengine wanasema tuundiwe azimio la kufukuzwa bungeni, sijui kama wanaelewa taratibu na kanuni.
Aliongeza: Katika vipaumbele 13 vilivyotolewa na Rais, hatujasikia suala la marekebisho ya Katiba ambalo limekuwa likilalamikiwa kwa takribani miaka 15 sasa, na hakuna hatua inayochukuliwa, sasa tunataka haya tunayoyadai yawemo kwenye hivyo vipaumbele.
Alhamisi iliyopita, wabunge wa Chadema waliondoka kwenye ukumbi wa Bunge mara baada ya Rais Kikwete kuanza kuhutubia kwa mara ya kwanza tangu kufanyika uchaguzi mkuu, Oktoba 31.
Akizungumzia madai ya kuwapo mgawanyiko ndani ya Chadema, katika kufikia uamuzi huo wa kususia hotuba ya Rais, Mbowe alisema uamuzi huo ulipitishwa ndani ya kikao cha chama hicho.
Uamuzi ule umetokana na kikao halali cha chama, katika masuala kama hayo, si lazima watu wote wakubali na diyo maana unaweza kufikia hatua ya kupiga kura, lakini mwisho wa yote uamuzi wa wengi ndio unaofuatwa.
Kweli ni jambo la kushangaza sana kuwa kiini cha matatizo mengi yanayolikabili taifa hivi sasa ni Katiba. lakini kiongozi wa nchi haonyeshi kuwa kama hilo ni tatizo, hata kwa kusema kuwa wameliona. Tuna safari ndefu kufikia maendeleo kwa mwendo huuKatika vipaumbele 13 vilivyotolewa na Rais, hatujasikia suala la marekebisho ya Katiba ambalo limekuwa likilalamikiwa kwa takribani miaka 15 sasa
ILI waingie bungeni, wabunge wa Chadema wameweka masharti ambayo yakitekelezwa na Serikali watakuwa hawana tatizo tena.

Ili waingie bungeni wanatoa masharti?
Ili waingie bungeni walichohitaji ni kura za wananchi.
Maana ya demokrasia ndio hiyo, huwezi kulazimisha Bunge au serikali kufanya mambo kwenye majukwaa ya kisiasa wakati wewe ni mbunge, kaliongeeni bungeni. Kama kura zenu Bungeni hazitoshi, changamoto ni kutafuta kura hizo kwenye chaguzi zijazo.
Hii ya kusema hamuingii Bungeni mpaka mtekelezewe masharti, ni hysteria.
Na mtawaangusha waliowapigia kura kwa kiasi kikubwa kwa sababu hamjawaambia kuwa kususa ndicho mnachoenda kufanya.
We Zemarocoplo nasikitika sana kwa uelewa wako na uchamgiaji wako WA HOVYOHOVYO!!!!
ELEWA HILI: Chadema wanafanya hayo yoote kwa kuwa wao ni KAMBI YA UPINZANIA INAYOTAMBULIKA KIKATIBA, na sheria ya VYAMA VINGI KWA NCHI YOYOTE DUNIANI INAYOFUATA MFUMO HUO.
CUF,TLP,NCCR,UDP haviwezi kufanya hivyo, kwa kuwa wao ni wawakilishi katika bunge AMBAO hawatoki kwenye CHAMA KIKUU CHA UPINZANIA BUNGENI!!!!!!!
Kambi ya upinzani inaundwa na wabunge WALIO WENGI bungeni,kutoka CHAMA CHA SIASA, baada ya CHAMA TAWALA.
Kugoma kwao, na vitu vingine VINATOA TASWILA TOFAUTI, ukuilinganisha na vyama vingine vilivyo na wawakilishi bungeni.
Kama CHADEMA wangefanya hivyo (kutoa masharti) wakiwa wao wana wabunge wachache kulinganisha na chama, kingine cha upinzani bungeni NDIO UNGETOA HOJA YAKO IYO YA HOVYOHOVYO!!
Kua wewe!!! Uwepo wa chadema BUNGENI ni lazima,kwa kuwa wao ni serikali KIVULI, mpuuzi wewe,CHAMA TAWALA KINAHITAJI UWEPO WAO BUNGENI, kinyume cha hapo HILO NI BUNGE BANDIA na la mabavu, NA DUNIA ITAIONYESHEA KIDOLE TZ!!
Unafikili Kikwete, akiambiwa hakuna kwenda ULAYA (kama Mugabe) si ndio atakufa!! anavyopenda kwenda ulaya na Amercano apate ujiko ujiko kwa vishori vyake, alafu akataliwe kwa hija kama hiyo Lazima afanye mabadiliko.
CCM Mkubwa we!!
Hiki kichwa cha habari kimekaa sawa kweli? Masharti ya kurudi bungeni au kukaa bungeni akiwemo JK aliyeshindishwa kwa kura za wizi wa NEC?