picha inaongea maneno 1000 jipange tupia na picha ueleweke mara 1000 kidogo kuliko kusema
Tunashukuru kwa taarifa ila tulia kidogo wakati unaandika!!!!Kama kawaida. Leo jioni kuanzia saa tisa, makamanda wa anga walitua mjini iringa wakiongozwa NA mboe, then lema, msigwa, n.k. Wamewahutubia wananchi na kuwataka siku ya j2 kujitokeza ukumbi wa siasa kusubilia na kulinda kula za kalenga.
Watu walikuwa wengi ajabu.kweli mungu yu pamoja na cdm.nawasilisha.