CHADEMA yatikisa Arusha Mjini

CHADEMA yatikisa Arusha Mjini

Unajua nilippokuwa? Ama unadhani kila mtu aliuliwa kwa maagizo ya huyo muhuni wa kizimkazi?
Haya tuambie ulikuwa maeneo gani ili Tume ya Upelelezi iliyopendekezwa na Tume ya Jaji Chande iweze kukufikia mapema utoe maoni yako?
 
Kwa taarifa yako nilienda kwenye tume, nikiwaambia sababu za maandamano ilikuwa ni wananchi kuchoka kura zao kuchezewa. Nikawaambia tuangalie idadi ya sensa kama kuna watu wazima 30m, walipoona naenda huko wakasema hadidu zao za rejea, integrity ya uchaguzi haipo. Pale ndio nilipojua hila ya hiyo tume, na ujinga wa aliyeiunda. Inshort huyo tume imeundwa na mahalifu mjinga mwenye madaraka.
 
Ninathibitisha kwamba Chadema ndio CHAMA kikuu cha SIASA Nchini Tanzania, Kama unabisha fuatilia Mkutano wa CHAMA hicho muda huu kwenye viwanja vya Soko kuu

Ilikuwa vema mno kwa CCM kumtumia Anna Komu na Said Issa kuzuia hiki CHAMA kisifanye SIASA

Wazungumzaji wakuu ni Godbless Lema (Nabii) na Mwenyekiti wa kanda ya Pwani Boniface Jackob

Soko kuu imetapika haitoshi!
Intelejensia ya polisi inasemaje?
 
Maridhiano ni ya vyama vyote vya upinzani siyo CDM pekee acha kudanganya.
Nendeni mkaridhiane na mamluki wenu sasa achaneni na chadema au mnafikir chadema inamuda wa kubembelezana Kwasasa? Kama mlifanya uchaguzi wenu fake na mamluki wenu fanyen na maridhiano pia achaneni na chadema.
 
Basi subirini 2030 ili msusie tena! 🤣
Nikuhakikishie jamaa, huu mchezo wanaoufanya mwisho wake ni Mbaya sana. Nilidhani Oct29 walipata somo. Ila nadhani hamkujifunza. Mbegu hii imeanza kupandwa toka 2015. 2025 imejitokeza mche, mkadhani mmeukata kumbe kwa chini unazidi kujiimarisha mizizi, ukija kutoka tena, hamtaamini macho na masikio yenu.

Sasa hivi mko kwenye denial, kuwa wale sio watanzania. Mlizoe watanzania mazezeta, sasa hamuamini kama ni wale.

Kuna shida kubwa mno inakuja mbele.
 
Kwa taarifa yako nilienda kwenye tume, nikiwaambia sababu za maandamano ilikuwa ni wananchi kuchoka kura zao kuchezewa. Nikawaambia tuangalie idadi ya sensa kama kuna watu wazima 30m, walipoona naenda huko wakasema hadidu zao za rejea, integrity ya uchaguzi haipo. Pale ndio nilipojua hila ya hiyo tume, na ujinga wa aliyeiunda. Inshort huyo tume imeundwa na mahalifu mjinga mwenye madaraka.
Haya subiri Tume ya Upelelezi sasa nako uende ukatoe ushahidi wa hayo unayodai hapa mitandaoni.
 
Nikuhakikishie jamaa, huu mchezo wanaoufanya mwisho wake ni Mbaya sana. Nilidhani Oct29 walipata somo. Ila nadhani hamkujifunza. Mbegu hii imeanza kupandwa toka 2015. 2025 imejitokeza mche, mkadhani mmeukata kumbe kwa chini unazidi kujiimarisha mizizi, ukija kutoka tena, hamtaamini macho na masikio yenu.

Sasa hivi mko kwenye denial, kuwa wale sio watanzania. Mlizoe watanzania mazezeta, sasa hamuamini kama ni wale.

Kuna shida kubwa mno inakuja mbele.
Mkuu kwani risasi zimeisha? Kwani Pemba walifanywaje?
 
Ninathibitisha kwamba Chadema ndio CHAMA kikuu cha SIASA Nchini Tanzania, Kama unabisha fuatilia Mkutano wa CHAMA hicho muda huu kwenye viwanja vya Soko kuu

Ilikuwa vema mno kwa CCM kumtumia Anna Komu na Said Issa kuzuia hiki CHAMA kisifanye SIASA

Wazungumzaji wakuu ni Godbless Lema (Nabii) na Mwenyekiti wa kanda ya Pwani Boniface Jackob

Soko kuu imetapika haitoshi!
Picha/video clips ziko wapi?
 
Back
Top Bottom