Acha uongo wadanganye wasioijua Arusha.Hapo Arusha sehemu nyingi zilizokuwa za wazi kwa ajili ya mikutano ya kisiasa na mukusanyiko mingine ilizufingwa kwa ajili ya kuwakomoa cdm, na ushahidi upo.
Acha uongo wadanganye wasioijua Arusha.Hapo Arusha sehemu nyingi zilizokuwa za wazi kwa ajili ya mikutano ya kisiasa na mukusanyiko mingine ilizufingwa kwa ajili ya kuwakomoa cdm, na ushahidi upo.
Ukweli mtupu.Kama kuna kitu cdm wamefanikiwa kama chama ni kwa wafuasi wake kuwa na imani na chama na sio mtu. Alihama hadi Dr. Slaa na bado cdm ikabaki na wafuasi. Mbowe kazira, na team Mbowe wakahamia Chauma lakini hawakuondoka na wafuasi. Na hata voters turn out kuwa ndogo hadi aibu, ni kwa kuwa cdm waligoma kushiriki huo uchaguzi. Yaani cdm ni imani.
Huu ni ukweli unaoumiza, na hata sasa determinant wa haya maridhiano uchwara ni cdm. Iwapo cdm watagoma kushiriki maridhiano, automatically yatakuwa hayana impact inayotegemewa. Hutaki unaacha.
Cdm hawahitaji hayo maridhiano, maana maridhiano ya kweli yalitakiwa kabla ya uchaguzi, na ccm waligoma ili wapore kwanza uchaguzi, kisha wakishapata madaraka ndio waitishe maridhiano ili kutopata pressure ya kutawala. Kisha ukifika uchaguzi mwingine wanapora halafu wanaitisha maridhiano. Ujinga huo fanyeni na hivyo vyama matawi yenu.Maridhiano ni ya vyama vyote vya upinzani siyo CDM pekee acha kudanganya.
Yaani Arusha ina maajabu gani kwenye kufahamika hadi niwadanganye wasioijua?Acha uongo wadanganye wasioijua Arusha.
Basi subirini 2030 ili msusie tena! 🤣Cdm hawahitaji hayo maridhiano, maana maridhiano ya kweli yalitakiwa kabla ya uchaguzi, na ccm waligoma ili wapore kwanza uchaguzi, kisha wakishapata madaraka ndio waitishe maridhiano ili kutopata pressure ya kutawala. Kisha ukifika uchaguzi mwingine wanapora halafu wanaitisha maridhiano. Ujinga huo fanyeni na hivyo vyama matawi yenu.
Maana yangu ni kuwa Arusha open space ziko kibao za kuweza kufanyia mikutano siyo kwenda kusumbua watu sokoni.Yaani Arusha ina maajabu gani kwenye kufahamika hadi niwadanganye wasioijua?
Umeona kuna mtu kashika fungu la matembele hapo?Mkutano unafanyika sokoni then unasema umejaa!! Watu wameenda kununua mahitaji kwanini hamkwenda kufanya mkutano wenu kwenye viwanja vya wazi? CDM kwisha habari zenu.
Hangaya hatoboiBasi subirini 2030 ili msusie tena! 🤣
Safari hii uchaguzi utafanyika kwa heshima, labda muwafute cdm, maana ikisemekana hakuna uchaguzi bila mazingira ya haki ni kweli hautafanyika. Na safari hii mtiti utaanza siku moja kabla ya uchaguzi. Uoga una mwisho boss.Basi subirini 2030 ili msusie tena! 🤣
Zitaje, waliotoa kibali cha kufanya hapo sokoni wanajua ni sehemu sahihi.Maana yangu ni kuwa Arusha open space ziko kibao za kuweza kufanyia mikutano siyo kwenda kusumbua watu sokoni.
Kwanini ufanyike sokoni?Umeona kuna mtu kashika fungu la matembele hapo?
Wewe mshamba Mkutano haukufanyika kwenye meza za DagaaKwanini ufanyike sokoni?
Hata mwaka jana ulikuwa unaandika hivyo tu lakini hata hukusogeza pua ungekuwa historia tu kwa sasa.Safari hii uchaguzi utafanyika kwa heshima, labda muwafute cdm, maana ikisemekana hakuna uchaguzi bila mazingira ya haki ni kweli hautafanyika. Na safari hii mtiti utaanza siku moja kabla ya uchaguzi. Uoga una mwisho boss.
Kila siku siyo JumapiliHata mwaka jana ulikuwa unaandika hivyo tu lakini hata hukusogeza pua ungekuwa historia tu kwa sasa.
Sawa mimi mshamba wewe ni Malaya!Wewe mshamba Mkutano haukufanyika kwenye meza za Dagaa
Vinaitwa viwanja vya soko kuu, siyo ndani ya solo, ushamba wa mwanjelwaKwanini ufanyike sokoni?
Malaya wa kweli unamjua ila unaogopa kumtaja usitekwe unasingizia wasiohusikaSawa mimi mshamba wewe ni Malaya!
Unajua nilippokuwa? Ama unadhani kila mtu aliuliwa kwa maagizo ya huyo muhuni wa kizimkazi?Hata mwaka jana ulikuwa unaandika hivyo tu lakini hata hukusogeza pua ungekuwa historia tu kwa sasa.
Hakuna viwanja vya soko kuu Arusha bali kuna mitaa kama ilivyo kariakoo acha uongo wewe bibi.Vinaitwa viwanja vya soko kuu, siyo ndani ya solo, ushamba wa mwanjelwa