CHADEMA yatikisa Arusha Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,340
Reaction score
283,372
Ninathibitisha kwamba Chadema ndio CHAMA kikuu cha SIASA Nchini Tanzania, Kama unabisha fuatilia Mkutano wa CHAMA hicho muda huu kwenye viwanja vya Soko kuu

Ilikuwa vema mno kwa CCM kumtumia Anna Komu na Said Issa kuzuia hiki CHAMA kisifanye SIASA

Wazungumzaji wakuu ni Godbless Lema (Nabii) na Mwenyekiti wa kanda ya Pwani Boniface Jackob

Soko kuu imetapika haitoshi!
 
Nitapata WAPI clip nzima ya mkutano, please
 
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Arusha hawaitaki tena CHADEMA. Waliokuwa makada na supporters maarufu wa CHADEMA walishasanuka na kuhamia CCM.
 
Arusha hawaitaki tena CHADEMA. Waliokuwa makada na supporters maarufu wa CHADEMA walishasanuka na kuhamia CCM.
Kama kuna kitu cdm wamefanikiwa kama chama ni kwa wafuasi wake kuwa na imani na chama na sio mtu. Alihama hadi Dr. Slaa na bado cdm ikabaki na wafuasi. Mbowe kazira, na team Mbowe wakahamia Chauma lakini hawakuondoka na wafuasi. Na hata voters turn out kuwa ndogo hadi aibu, ni kwa kuwa cdm waligoma kushiriki huo uchaguzi. Yaani cdm ni imani.

Huu ni ukweli unaoumiza, na hata sasa determinant wa haya maridhiano uchwara ni cdm. Iwapo cdm watagoma kushiriki maridhiano, automatically yatakuwa hayana impact inayotegemewa. Hutaki unaacha.
 
Hakika
 
Daa CCM mwaka jana walipata aibu ya mwaka, Maridhiano bila Chadema ni zero
 
Mkutano unafanyika sokoni then unasema umejaa!! Watu wameenda kununua mahitaji kwanini hamkwenda kufanya mkutano wenu kwenye viwanja vya wazi? CDM kwisha habari zenu.
 
Daa CCM mwaka jana walipata aibu ya mwaka, Maridhiano bila Chadema ni zero
Baada ya kuijua nguvu halisi ya cdm, wanalazimisha maridhiano, na walengwa wakubwa ni cdm, lakini wao ndio waamue nini kipitishwe kwa nguvu ya dola. Kwa mtazamo wangu cdm wasikubali kushiriki vikao vyovyote vya maridhiano, maana madai halisi yanafahamika na yamekuwa yakipuuzwa.
 
Mkutano unafanyika sokoni then unasema umejaa!! Watu wameenda kununua mahitaji kwanini hamkwenda kufanya mkutano wenu kwenye viwanja vya wazi? CDM kwisha habari zenu.
Kuna bidhaa zozote wananunua hapo hao wasikilizaji?
 
Kuna bidhaa zozote wananunua hapo hao wasikilizaji?
Hivi Tindo kama una uhakika ya wananchi wengi watakuja kwenye mkutano wako unaenda kufanyia mkutano kwenye Soko Kuu??
 
Hivi Tindo kama una uhakika ya wananchi wengi watakuja kwenye mkutano wako unaenda kufanyia mkutano kwenye Soko Kuu??
Hapo Arusha sehemu nyingi zilizokuwa za wazi kwa ajili ya mikutano ya kisiasa na mukusanyiko mingine ilizufingwa kwa ajili ya kuwakomoa cdm, na ushahidi upo.
 
Maridhiano ni ya vyama vyote vya upinzani siyo CDM pekee acha kudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…