CHADEMA yatekwa na CCM B

CHADEMA yatekwa na CCM B

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12107267_460607690767001_8961266962255332689_n.jpg
 
Dah! We jamaa utakuwa unavuta mpunga mrefu toka L.mumba kwa hii kazi unayoifanya jf
 
Halafu CCM B ina pumzi nyingi kuliko CCM A.
 
  • Thanks
Reactions: H20
Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?
 
kitengo cha IT kwenye kazi. hiyo ccm b ndo tunataka ichukue nchi
 
Ccm bring back our Tembos and Twigas.Vi propaganda uchwara kama hivi haviwezikugeuza upepo wa mabadiliko.Hosni Mubarak wa Misri alipoona jeshi limeshindwa kuzuia mabadiliko alifungia Magazeti,Tv stations pamoja na social media zooote lakini mabadiliko hayakuzuilika...Ccm out
 
CCM A imekata pumzi. Viva UKAWA imebaki kuwanyang'anya hata mpira wa Oksijeni wakiwekewa.
 
Hichi kizee kimenichekesha sana ..kama mtoto akiwa kwa babaake yani ..kafurahi balaaa ..huku mbowe akiwa haelewi afanyaje.
 
Back
Top Bottom