Mkuu Molemo,
Mwaka 2010 nilienda Kyela baada ya uchauzi Mkuu, nilikuta watu bado wana imani sana na CCM.
Lakini habari nilizopata hivi karibuni, ni kwamba uchaguzi wa kujaza nafasi za uwakilishi ngazi za vijiji na vitongoji huko Kyela, kimeonyesha mabadiliko ya kasi ya ajabu.
Pamoja na mizengwe na rafu za CCM, CHADEMA imezoa vijiji vitano kati ya 13 vilivyogombaniwa, na vitongoji 11 kati ya 61 vilivuogombaniwa. Hii kwangu ni mafanikio ya Kimbunga katika wilaya ambayo miaka miwili iliyopita ilikuwa ni aibu kujiita mpinzani.
Hivyo, mwaka 2013, kama CHADEMA itasimama imara na kuwafukuziloa mbali wale Masalia wanaolipwa na Magamba , 2014 itakuwa turning point ya CCM kizikwa rasimi!
Tumwombw Mungu CHADEMA waisambaratishe CCM iliyomo ndani ya CHADEMA ikiongozwa na kina SHibuda, Zitto na kwa mbali ARFI
Masali wakisikia hali hii matumbo yanawauma>
Kazi nzuri,ccm iwarubuni na kuwanunua madiwani na hata wabunge wanaothamini zaidi matumbo yao,lakini wananchi zaidi wako imara kwa mabadiliko.
Kamanda MAWAZO umetoka CCM kwa kazi moja tu, nayo ni kuwatumikia WATANZANIA na sio tumbo lako kama ambavyo umekuwa ukisema. MUNGU akujalie tupo pamoja ila kila mmoja na upande wake ila mwisho wake tunakutana sehmu moja nayo ni KUIWEKA PEMBENI CCM katika UTAWALA wa nchi. Ahsante MUNGU.
Kuna watu wanalalamika kuwa watu wa kazikazini wanapewa shavu na Dr Slaa wakatolewa mfano Mawazo na Ole Millya sasa naomba wasome uzi huu waone kazi ya Mawazo na kama watakuwa na maswali wayaweke hapa tutawapa takwimu kazi anayoifanya mawazo, Millya,Bananga na wengine ambao wamejitoa kujenga chama siyo unafiki nafiki tu...Mawazo fanyakazi na jua hata Chrismas ulikuwa unachapa kazi... Hongera sana MawazoChama cha Mapinduzi CCM kiko katika hali mbaya katika Jimbo la Kwimba baada ya maelfu ya wanachama wake pamoja na viongozi kadhaa kuhamia CHADEMA.
CHADEMA imezoa wanachama 15000 katika mikutano mikubwa sita iliyopigwa katika kata kadhaa za wilaya hiyo.
Mikutano hiyo ilihutubiwa na kiongozi mkuu wa M4C Kanda ya Ziwa Alphonce Mawazo.Kiongozi huyo alisema wananchi wameamua kuhama kutoka kwenye siasa za CCM za Analogia na kuhamia siasa za CHADEMA za Digitali.
Wachunguzi wa kisiasa wilayani Kwimba wanasema CCM ina hali mbaya wilayani humo na kuna uwezekano mkubwa uchaguzi ujao CHADEMA kuzoa ubunge na madiwani wote wilayani humo.
Source:Tanzania Daima.
Watu wanahamia digitali(CDM),wanaachana na analogia(ccm).
Mkuu Molemo,
Mwaka 2010 nilienda Kyela baada ya uchauzi Mkuu, nilikuta watu bado wana imani sana na CCM.
Lakini habari nilizopata hivi karibuni, ni kwamba uchaguzi wa kujaza nafasi za uwakilishi ngazi za vijiji na vitongoji huko Kyela, kimeonyesha mabadiliko ya kasi ya ajabu.
Pamoja na mizengwe na rafu za CCM, CHADEMA imezoa vijiji vitano kati ya 13 vilivyogombaniwa, na vitongoji 11 kati ya 61 vilivuogombaniwa. Hii kwangu ni mafanikio ya Kimbunga katika wilaya ambayo miaka miwili iliyopita ilikuwa ni aibu kujiita mpinzani.
Hivyo, mwaka 2013, kama CHADEMA itasimama imara na kuwafukuziloa mbali wale Masalia wanaolipwa na Magamba , 2014 itakuwa turning point ya CCM kizikwa rasimi!
Tumwombw Mungu CHADEMA waisambaratishe CCM iliyomo ndani ya CHADEMA ikiongozwa na kina SHibuda, Zitto na kwa mbali ARFI
Shauri yao wanaobaki watabaki kuona chengachenga.
Kuna watu wanalalamika kuwa watu wa kazikazini wanapewa shavu na Dr Slaa wakatolewa mfano Mawazo na Ole Millya sasa naomba wasome uzi huu waone kazi ya Mawazo na kama watakuwa na maswali wayaweke hapa tutawapa takwimu kazi anayoifanya mawazo, Millya,Bananga na wengine ambao wamejitoa kujenga chama siyo unafiki nafiki tu...Mawazo fanyakazi na jua hata Chrismas ulikuwa unachapa kazi... Hongera sana Mawazo
Hili kundi la Masalia linalalamika kupitia keyboards wakati makamanda wanapambana kwenye uwanja wa vita.
Tena kuna wakati wana kuwa kwenye wakati mungu kweli hata pesa ya mafuta kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni shida wanaacha familia zao mwezi mzima wana jenga chama leo unataka ujifananishe na wewe sijui mwampampa na Mawazo
Tafadhali CHADEMA jikiteni ktk vijiji na vitongoji,
Kuna watu wanalalamika kuwa watu wa kazikazini wanapewa shavu na Dr Slaa wakatolewa mfano Mawazo na Ole Millya sasa naomba wasome uzi huu waone kazi ya Mawazo na kama watakuwa na maswali wayaweke hapa tutawapa takwimu kazi anayoifanya mawazo, Millya,Bananga na wengine ambao wamejitoa kujenga chama siyo unafiki nafiki tu...Mawazo fanyakazi na jua hata Chrismas ulikuwa unachapa kazi... Hongera sana Mawazo
Yeah! Hayo ndio matunda ya M4C lakin cha ajabu utashangaa kuona vijana wasongoma eti wanaiponda M4C tena bila hata aibu.
No way out to escape M4C!
Peoples power!
kamanda hao wanaolalama ni masalia tena waasi wakubwa wenye viapo vya kuzimu na hawana nia njema na chama.
Funika mafisadi kabisa! Hawana jipya kwa Wananchi zaidi ya hasara tupu!!