Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,150
- 7,416
- Thread starter
-
- #81
ngoja niwaeleze ukweli.
Viongozi wakubwa wa DARUSO, rais, PM, Spika na naibu wake, wote ni wana-UVCCM wazuri, na hiyo UVCCM ndiyo iliyowaweka madarakani ft. Kamanda wa UVCCM, wilaya ya K'Ndoni na baadhi ya madiwani wa Ubungo, mke wa Steven Wassira na viongozi wa tawi la CCM-Abiyani...
Vikao vya kupanga mkakati wa kuwaweka vilifanyika restaurant moja pale Mikocheni 'B', inaitwa Dar Carnival sijui. Waliohudhuria walichukuliwa na Land Cruiser Hard Top kutoka Campus na Mabibo Hostel mpaka eneo la tukio, miksa kipupwe cha kutosha.
Suala la uhusiano kati ya mgomo na CDM sijui unakujaje, wakati wafukuzwa wakubwa ni wadau wa gambaz?
Sijui...
Kama wanafahamika na wana ushahidi, wawafikishe court
u made my day mkuu.
CHADEMA walishindwa kabisa kuokoa watu siku ya mafuriko, mzee wa watu akanywa chai juu ya paa.
mkuu si unakumbuka mgogoro wa kufunga vyuo kipindi kile cha uchaguzi ili wasomi wa vyuo vikuu wasipige kura.
kukatza watu wasidahiliwe chuo kingine chochote,kisa wamefukuzwa chuo kikuu cha Dar es salaam ni ukatili wa aina yake,hawa jamaa ukikwazana nao wanaweza kukufutia ata uraia.
Mwisho wa ubaya ni aibu that is what im waiting siku ya aibu kwa hii ccm inayotunyanyasa na kutukandamiza
kama hali hiko hivi mbona wanapiga sarakasi za ajabu ajabu..kumbe hiki kigazeti chao kiko kitengo cha propaganda.
ukweli ni kwamba CCM ina wenyewe, kama alivyosema yule Katibu wa Uenezi na Itikadi,
hao wengine wanatumika kama tissue, na kutupwa matumizi yao yanapokwisha. Hata hao unaowasikia huko mjini, pamoja na umasikini wao wa kutupwa, bado wanashabikia CCM, hawajui kuwa wanatumika na 'wenye uhai' wachache.
kweli tupu.
Nilikuwa shuhuda wa hili...
Nimeshangazwa sana habari hii iliyopewa uzito wa juu na kukolezwa wino kwenye Gazeti la CCM (uhuru) leo..
Gazeti ili linadai lime wahoji wasomi hao, nanukuu "siri ya mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (udsm) imefichuka ,ikidaiwa unachochewa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA.
Madai hayo yalitolewa jana na baadhi ya wanafunzi wanaondelea na masom chuoni hapo, waliodai kuna wabunge viongozi wa chama hicho wanachochea mgomo
walidai wamekuwa wakipandikiza chuki kwa
lakini mkuu, kipindi kile cha uchaguzi na baada ya uchaguzi kuwapata viongozi wa DARUSO mbona habari hizi hazikufahamika hata kidogo?
kamaa viongozi wa DARUSO wengi wao ni ccm damudamu lakini bado wamefukuzwa kama mbwa mwizi basi ccm ina wenyewe.
When the empire ignores the warning it will crumble for ever.
sifahamu aisee!
Ila what I knew ni kuwa wanafahamiana, ikawa rahisi ku-observe loyalty kwao. Kama unamfahamu Mongate, alinunuliwa siku mbili kabla ya uchaguzi, kwa garama ya ShT. 70'000/=. Wale wengine walikuwa wana-CCM waadilifu toka kale.
its a game of opportunity, wakikuhitaji wanakulambalamba. Wasipokuhitaji, you're pissed off negro...