Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Baada ya kutangaza maandamano na wafuasi wake maana tunajua hawana wanachama, serikali yayapiga stop maandamano hayo yenye lengo lilofunikwa la kupora mali za raia.
Tumekuwa tukishuhudia kila yanapotokea maandamano; wapo watu wanaopata hasara kubwa kwa kuporwa na waandamanaji, kupoteza mali n.k. Kikubwa kinachotokea ni uporaji hasa maeneo yafuatayo; bar, hotelini, maduka, vibandani, wapo pia wanaoporwa mikoba, pochi, walet, simu na vitu vingine vya thamani na waandamanaji ndio maana wanajitokeza kwa wingi maana ni siku yao ya kutengeneza
kama chadema wameshaona dalili za kushindwa huo uchaguzi ni vema wakajipanga upya maana bado kuna chaguz kibao zinakuja. Yanini kutumia vurugu kama timu ambayo imeshafungwa inavuruga mchezo?
Na kama chadema wanaamini askari wengi wanawaunga mkono kwanini wasiheshimu kazi yao ya uaskari?
vipi uchumi wa kwenu LINdi
Huu 'UPORAJI'ni siasa majitaka..hakuna mtu aliyewahi kudai kuporwa ktk maandamano ya cdm.Mizigo endeleeni na manenu yenu sie twasonga
Kazi kwenu wana Lumumba naona woote mmehamia huku!!
Hakuna jinsi Arusha muisahau!!
Lema Jambazi.
huu 'uporaji'ni siasa majitaka..hakuna mtu aliyewahi kudai kuporwa ktk maandamano ya cdm.mizigo endeleeni na manenu yenu sie twasonga
Huu 'UPORAJI'ni siasa majitaka..hakuna mtu aliyewahi kudai kuporwa ktk maandamano ya cdm.Mizigo endeleeni na manenu yenu sie twasonga
Nasikia ni chakula cha wafuasi wake?!
Hayo maandamano yalikuwa yanahusu nini?
ccm wameshaishiwa sera vp ile ishu ya kapuya kubaka imeishia wapi ndo kazi ya ccm
Chadema imekufa, lema ni janga kuu
Lema amepigwa stop kuongoza uporaji wa mali za wananchiccm wameshaishiwa sera vp ile ishu ya kapuya kubaka imeishia wapi ndo kazi ya ccm
Keshazoea yote mawili huyu Lema.
Wana arusha wamechoka laghai ya lema na wahuni wenzakeWalidai A town wameishika kumbe ni kutaka kupora! Dah! Wameshtukiwa.
Lema amepigwa stop kuongoza uporaji wa mali za wananchi