Chadema, mgombea ubunge chalinze hajui kusoma wala kuandika? Hili limekaaje wanachadema?nimeshtushwa na hbr hii ktk gazeti moja la leo nchini Tanzania. Hilo ni pingamizi ambalo limewekwa na mgombea wa CUF. Kama ni kwel ni jambo la aibu sana na hujuma kwa chama hicho. Ni dalil za wazi kuwa wanachadema hawapo serious. Labda iwe kama wameamua kumwachia jimbo Ridhiwan Kikwete au kuwa hawana Mgombea mwngne bora kuliko yeye. Jaman, karne ya 21 achaguliwe mtu hajui kusoma wala kuandika? Hebu tuacheni masikhara.