CHADEMA yasimamisha mgombea ubunge mbumbumbu Chalinze

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,742
Reaction score
32,344
Chadema, mgombea ubunge chalinze hajui kusoma wala kuandika? Hili limekaaje wanachadema?nimeshtushwa na hbr hii ktk gazeti moja la leo nchini Tanzania. Hilo ni pingamizi ambalo limewekwa na mgombea wa CUF. Kama ni kwel ni jambo la aibu sana na hujuma kwa chama hicho. Ni dalil za wazi kuwa wanachadema hawapo serious. Labda iwe kama wameamua kumwachia jimbo Ridhiwan Kikwete au kuwa hawana Mgombea mwngne bora kuliko yeye. Jaman, karne ya 21 achaguliwe mtu hajui kusoma wala kuandika? Hebu tuacheni masikhara.
 
Mkuu, mbona hiyo ni kawaida yao??? Huu ni mwendelezo tu
 
Ukianzia pale arusha mjini, iringa mjini,mbeya mjini, hai ( kichwa cha chama) kuna nini? Si afadhali kabisa ya chalinze?
 
Wakazi wengi wa Chalinze wanasoma Elim akhera kwahiyo ikiletwa juzu atamwaga nondo za uhakika
 
Ukianzia pale arusha mjini, iringa mjini,mbeya mjini, hai ( kichwa cha chama) kuna nini? Si afadhali kabisa ya chalinze?

bunge likiamua kuanza ku2mia Kingerez..akina CC ni M mtahaha..
 
Ni afadhali huyo kuliko CCM kumsimaisha Ritz mfanyabiashara wa madawa ya kulevya!
 
Chadema, mgombea ubunge chalinze hajui kusoma wala kuandika? Hili limekaaje wanachadema?nimeshtushwa na hbr hii ktk gazeti moja la leo nchini Tanzania. Hilo ni pingamizi ambalo limewekwa na mgombea wa CUF. Kama ni kwel ni jambo la aibu sana na hujuma kwa chama hicho. Ni dalil za wazi kuwa wanachadema hawapo serious. Labda iwe kama wameamua kumwachia jimbo Ridhiwan Kikwete au kuwa hawana Mgombea mwngne bora kuliko yeye. Jaman, karne ya 21 achaguliwe mtu hajui kusoma wala kuandika? Hebu tuacheni masikhara.
Propaganda za kitaahira!
 
huu upuuz pelekeni kwenye magazeti yenu ya kufungia vitumbua,,,uhuru,jambo leo na mzalendo!
 
Sidhani kama kunaukweli juu ya hili.
Mimi ambacho hawajanifrahisha CDM kumsimamisha mgombea kutoka jamii ya wafugaji kwenye ukanda wa wakulima palipojaa migogoro ya wakulima na wafugaji?!
Sio rahisi wazigua na wakwe.re kushawisha kumchagua mfugaji. Walitakiwa wampeleke mtu mwenye ushawishi wa moja kwa moja na anaejipambanua hoja na kuibua changamoto zenye ushawishi.
Ikumbukwe kuwa PWANI ni ngome imara ya CCM na ndiyo mkoa unaoongoza kwa kuwa na wazee wengi wafunga misuli na kushinda kwenye kahawa!
 
Chadema, mgombea ubunge chalinze hajui kusoma wala kuandika? Hili limekaaje wanachadema?nimeshtushwa na hbr hii ktk gazeti moja la leo nchini Tanzania. Hilo ni pingamizi ambalo limewekwa na mgombea wa CUF. Kama ni kwel ni jambo la aibu sana na hujuma kwa chama hicho. Ni dalil za wazi kuwa wanachadema hawapo serious. Labda iwe kama wameamua kumwachia jimbo Ridhiwan Kikwete au kuwa hawana Mgombea mwngne bora kuliko yeye. Jaman, karne ya 21 achaguliwe mtu hajui kusoma wala kuandika? Hebu tuacheni masikhara.
Huyo mgombea wa maccm B, kasibitisha kama kamanda hajui kusoma?

Ridhiwani Hakuna ushindi wa mezani hapa
 
haaa! mkija shituka mmesha mpa promo jamaa vyakutosha.iyo ndio cdm bana siasa zao ccm hamtakaa muwaelewe cz kila mtu sasa anahamu ya kumjua jamaa na cv zake so ilo tu tayali. ni gori tosha.
 
Kama kweli basi kosa sio lake ni la wakuu waliomkubali awe mgombea wao ,hapo hakuna cha upinzani wote wanatafuta tonge kupitia vyama vyao ,sasa kila mmoja anatumia ubavu wake ili kupata nafasi ,kusema sisi ni wapinzani tusiekeane pingamizi hilo halikubaliki.

Wakubanwa hapa ni wakuu wa CDM waliomuachia mtu aliekuwa hajui kusoma wala kuandika kumpitisha wakati huko mbele kila mtu anatafuta kosa ili akukwamishe ,sidhani kama wakuu wa CUF walikwenda kuyachunguza hayo madudu ya mgombea wa CDM ila ni mgombea mwenyewe katika jitihada zake za kutafuta rizki.

Mtu hajui kusoma wala kuandika halafu mnataka kupiga makelele ,kama ni hivyo inaonekana mpo wengi aina ya akina Sendeka.

Na mwisho jamaa kapiga msumari kasema huyo mgombea wa CDM si Mtanzania ,Chadema hamkuyajua hayo au mmeingizwa mjini ??? Mchunguzeni ili mara ya pili msifanye kosa.
 
Back
Top Bottom