Wewe na baba yako mtabaki kuwa wachumia matumbo miaka lake Nane, mtatumikishwa na Ukawa mpaka mkome, na nchi hii itaongozwa na CCM mwanzo mwisho! Utake usitake hilo halina ubishi.
Kibaka mmeo mbowe na Slaa waliokwiba fedha za ruzuku wakaenda kuwahonga makahaba zao
Piga kelele zako hizo maan wewe ni CHURA sasa nkwambie kuwa kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji, kenge weeee!Hayo ni mawazo yako yalivyofinyu kumbuka Watz waleo si wa mwaka 47, na ww umezoea kuishi kwa kukariri umeridhika na buku 7 zako,
Watz wanahitaji mabadiliko na wanauona huu ufisad mnaoufanya live,
Rasilimaliza tulizonazo mmeshindwa kuwanufaisha Wananchi bal mnajinufaisha nyie mafisad halafu unakaa hapa na kusema mtaendelea kutawala kivip? Itakuwa unawashwa najua unamfurahisha bwana wako baadae unapokea buku 7
Nabishana na mtu alie kichaa cha fisi maana akil zako ndo zilipoishia hapo umejitoa ufaham,
Umeishiwa hoja wewe nenda kajifungue hiyo mimba alokupa Dr. slaa ndo uje kubishana humu ndani, sibishani na wajawazito kama wewe! Utanipa mada caseMajiz nyie, mafisad, magaid wa Nchi hii nyie mnaoenda kutanua huku ulaya na msanii mmoja hivi wa Movie kwa pesa za walipa kodi, nyambafu mnakufa rasmi oct sasa mnapigana vikumbo kwenye urais, naona Ikulu sasa pamekuwa pa wauza unga.
Akiliz zako zimefikia hapo kama kufuli ya pochi yakoChama kikikosa dira huanza kutafuta namna ya kuwagawa watz kwa kutumia udini, ukanda, ukabila na kukumbatia mafisadi.......ccm NDIPO ILIPOFIKIA NA NDIPO ILIPOTUFIKISHA
makongoro nyerere ccm inaongozwa na vibaka lissu ananukuu
Akiliz zako zimefikia hapo kama kufuli ya pochi yako
Pole sana kama unafanya kazi ya kujichumia tumbo lako kwa kumiliki id nyingi hapa wala halitokusaidia kitu, maana hapa ni dozi tuuu mpaka utaelewa tu, punguza jazba njaa itakuua maana unavyoongea utadhani umekabwa kooni! Hahahaha pole sana maneno yangu najua yankuumiza sana. Ila ndo huvo vumilia tu ndo ukubwa huo.
Chadema Hatugawani Vyeo tnagawana Majukumu
Tunacho jadili hapa ni watu wa dodoma wamepewa elim ya uraia wameelewa sasa mambulula wengine wanakuja hapa kuvuja matusi badala ya kuwapongeza ahsante dodoma kwa kazi ya Mungu mlio fanya leo mafisi yote yamejificha msibani mji umetekwa na wenye nchi
Huna jipya wewe mchumia tumbo kojoa ulaleMkuu sijui hivi vimsukule vya fisi leo vimeachiwa kutoka msituni vinakuja kubwabwaja bwabwaja tu cjui vimelishwa maharaga mabichi maana vimejitoa ufaham kwa buku 7 tu
Ifikapo okto a usije ukabadili id yako maana nitakutafuta nikuumbue kwa chama chenu cha walala njaa kukosa urais
Ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.
Mwulize Goodluck Jonathan wa Nigeria,amekabidhi nchi kwa shingo upande maana hakuamini macho yake kama usivyoamini wewe keng...!hivi kati ya ccm na Chadomo nani wanafanya maigizo? Nyie mmetafuta urais kwa muda gani mpaka hvi leo? Je mmewahi kuupata huo urais? Sasa hauoni hapo nyie mnaigizo, sawa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
Huna jipya wewe mchumia tumbo kojoa ulale
Ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.