Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
Tatizo lako akili ayko inafanana na hiyo ya avatar yako maana mbuzi hanaga akili ndo mana unashabikia ujinga ujinga tu hapo!Sababu mmezoea ujanjaujanja ndiyo maana akili yako haipokei kile macho kinachoonyesha kweli bado kuna kazi.
Sasa wew jamaa HOVYO..ndo unaona hawa ni watu ,kwenye manispaa kama Dodoma ,kwanza mpiga picha kapiga kijanja janja ili ionekana halaiki ya watu
Hiki chama ni janga kabisa hakioni kuwa kuna msiba hata bunge limesimamimishwa kama heshima ya marehemu wao wanaendelea kuomba huruma kwa wanchi tena pale pale dodoma. Shame shame
Ifikapo okto a usije ukabadili id yako maana nitakutafuta nikuumbue kwa chama chenu cha walala njaa kukosa uraisHabari ndio hio tuko katika ya Tanganyika ukawa kiulaini magogoni wagogo wameelewa
Aibu kubwa sana naamini njaa zinawasumbua hao ndo mana wanapayuka oayuka kila kukichaWewe bila shaka ni wale vibaka anaosema Makongoro Nyerere .....
you must be abnormal and a oaranormal human being!si bure unafikir sisi tumezoea kutembea na fisi ndo watu wajae?
Kwl akil zako zimefanana na mafisi mnayotembea nayo ili kuwavutia watu uganga hd mikutanoni duuuh utakubal kiaina tu maana umejitoa ufaham
Chadema Hatugawani Vyeo tnagawana Majukumunawapongeza kwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha!!!
ila mkimaliza mumalizie kile kiporo cha kugawana vyeo!!
Asante Kamanda Makene
Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu is going to be a turning point ya siasa za nchi hii na utaamua hatma ya chama kilichoko madarakani, ama kuwa chama cha upinzani au kifuate njia ya KANU na UNIP, yaani kujifia. It either of the two. No more options.
Wachumia matumbo nyie mnagawana vyeo tena hadi kwa mangumi na vurugu, njaa hizo zitawaua nyieChadema Hatugawani Vyeo tnagawana Majukumu
Hiki chama ni janga kabisa hakioni kuwa kuna msiba hata bunge limesimamimishwa kama heshima ya marehemu wao wanaendelea kuomba huruma kwa wanchi tena pale pale dodoma. Shame shame
Wewe mfa maji, acha porojo zako, hayo ndo maneno yenu kila siku wala hayana effect zozote, we endelea kuvuta bangi zako na viroba na endelea kuropoka ovyo afu uone kama mntafika.
Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu is going to be a turning point ya siasa za nchi hii na utaamua hatma ya chama kilichoko madarakani, ama kuwa chama cha upinzani au kifuate njia ya KANU na UNIP, yaani kujifia. It either of the two. No more options.
Wachumia matumbo nyie mnagawana vyeo tena hadi kwa mangumi na vurugu, njaa hizo zitawaua nyie
TATIZO KUBWA ULONALO NI KUVUTA BANGI NA KUBWIYA VIROBA sio kosa lako bali ni kosa la hao walokuleaChadema moto chini mpaka magamba yanatoa povu Ahsanteni makamanda akuna kulala mpaka maboya ya ccm yalale
Mcumia tumbo wewe kojoa ukalalwe, unavamia tu mada usiyoijuaKibaka mwingine huyu kwa mujibu wa Makongoro Nyerere....rudisheni chama cha watu ......
Wewe mfa maji, acha porojo zako, hayo ndo maneno yenu kila siku wala hayana effect zozote, we endelea kuvuta bangi zako na viroba na endelea kuropoka ovyo afu uone kama mntafika.
Mcumia tumbo wewe kojoa ukalalwe, unavamia tu mada usiyoijua
Mkutano mkubwa sana unaendelea mdaa huu hapa Dodoma na viongozi Mbalimbali wa Chama wapo hapa mwitikio wa Wananchi nimkubwa sana Updates zinakuja