Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Watahakikisha dhuruma za 2010 hakuna mwanachuo kupiga kura!
Ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.Mkutano mkubwa sana unaendelea mdaa huu hapa Dodoma na viongozi Mbalimbali wa Chama wapo hapa mwitikio wa Wananchi nimkubwa sana Updates zinakuja
CCM ni kama yule bondia Mayweather hang'oki kitoto, hata muende mkaroge hamuwezi kukitoa hiko chama ng'oooo chama teule hikopongezi kwa wote wanaojitoa kuing'oa CCM
Ndio Maana Mr. Tembo Man anatembea nawagangaUkubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.
Kwani Chadema wao ni Miungu watu mpaka waweze kuzuia siri ya mtu moyoni asiweze kupiga kura? Huko ni kukisa uelewa na akili kabisaaa!Tumeliona hilo
Mkutano mkubwa sana unaendelea mdaa huu hapa Dodoma na viongozi Mbalimbali wa Chama wapo hapa mwitikio wa Wananchi nimkubwa sana Updates zinakuja
Basi na wewe nendaga kwa waganga ukagagnge il Chadomo kipite afu uone kama kitapita!Ndio Maana Mr. Tembo Man anatembea nawaganga
Ndio maana mnafanya MaigizoCCM ni kama yule bondia Mayweather hang'oki kitoto, hata muende mkaroge hamuwezi kukitoa hiko chama ng'oooo chama teule hiko
Waliopo hapo dodoma ni waganga njaa kama wewe hawajui lolote ni vibendera fata upepo kama ulivyo wewe mbumbumbumbona walisema Dodoma hakuna chadema...ivi kumbe wachaga asili yao in Dodoma eee...safi sana piga kazi chama langu mwaka huu lazima kieleweke..
Endeleeni kuimba taarabu maana ndo kipaji mlichonacho lkn siasa hamuweziNdio maana mnafanya Maigizo
Basi na wewe nendaga kwa waganga ukagagnge il Chadomo kipite afu uone kama kitapita!
hivi kati ya ccm na Chadomo nani wanafanya maigizo? Nyie mmetafuta urais kwa muda gani mpaka hvi leo? Je mmewahi kuupata huo urais? Sasa hauoni hapo nyie mnaigizo, sawa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!Ndio maana mnafanya Maigizo
CCM ni kama yule bondia Mayweather hang'oki kitoto, hata muende mkaroge hamuwezi kukitoa hiko chama ng'oooo chama teule hiko