MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,200
Kikao kikubwa cha CHADEMA kimeshindwa kufikia maamuzi magumu dhido ya Zitto na Shibuda. Pamoja na mikakati mizito iliyoratibiwa na Heche kwa kivuli cha BAVICHA wameishia kugawanyika kwa wajumbe wa kikao.
Huu ni uthibitisho kuwa chama hiki hakina dira wala muundo unaoeleweka kufikia maamuzi ya busara. Watanzania tuwe makini na hiki chama kinachoazimia kwenda MAGOGONI wakati hawana utashi wa kutoa maamuzi magumu.