Jambo moja kuu ni kwamba,viongozi wakuu wa cdm waliowengi ,ama ni wakopaji kwa hao wanaowaita mafisadi wa ccm,au ni wapo kwenye payroll ya mafisadi wa ccm,tofauti wanazidiana kete za nani yupo wapi na kwa nani,bei ya kila mmoja sokoni inajulikana-na ndo maana shibuda ana jeuri na kiburi maana anajua kila mmoja baada ya makelele ya kutwa kwenye tv na magazeti,huwa anaishia kwenda wapi na kwa nani,usiombe mtu akakufahamu rangi yako ,atakuchezea anavyotaka.hata wabunge wa chadema wanavyoombarushwa kwenye kamati inajulikana na wanajijua bei zao,ni suala la mda tu,wataumbuka,namheshimu tundu lisu kama mbunge wa na mwanasiasa wa ukweli,hao waliobaki wengine ni wajasiliamali wa kisiasa,full maigizo na sanaa,dr.slaa chapa kazi,japo umezungukwa na mbwa mwitu watupu,toka mkeo mpaka wajumbe wa kamati kuu.mda utafika utajua rangi zao halisi.wana machozi ya mamba,lakini sii ya ukweli.