Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,040
- 288,407
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Licha ya Wimbi la kutekwa kwa Wanachama wa Chama hicho Nchi Nzima, ambako sasa imedhihirika kunafanywa na vyombo vya dola vya Tanzania, ambavyo vimetumwa kuwamaliza, Chama hicho kimeendelea na harakati za kujiimarisha.
Safari hii yametolewa Mashati fulani kabambe sana, unaweza kuyavaa hata kwa Mtoko wowote ule.
Safari hii yametolewa Mashati fulani kabambe sana, unaweza kuyavaa hata kwa Mtoko wowote ule.