CHADEMA yasambaratika mkoani Kigoma

Hivi mmewahi kukemea wanaojinadi makanisani kwa ajili ya kubembeleza kura za wakristo kama huy hapa Edward Lowassa?

Kanisa lamuandalia tuzo Lowassa

Filikunjombe, Ligola wajitosa kambi ya Lowassa, wamnadi kanisani Iringa. | Dullonet Tanzania

Mzee wa Mshitu: Lowassa ashiriki harambee ya kanisa Akyeri Meru

Mbeya Yetu: LOWASSA ACHANGIA MILIONI 10 KANISA LA EAGT TUNDUMA MBEYA

Lowassa ajiweka mbali na kampeni Arumeru,ajikita kanisani..


Msamaa.

LOWASSA AMWAGIA FEDHA KANISANI ~ Mwanafasihi Mahiri

Lowassa kuongoza Harambee ya Kanisa Nyakato Mwanza | Fikra Pevu | Kisima cha busara!

MH. LOWASSA AONGOZA HARAMBEE YA KUNUNUA BASI LA KWAYA LA KANISA LA KKKT,MSASANI JIJINI DAR ~ Father Kidevu

WAZIRI MKUU AWAMU YA NNE ACHANGISHA SH100 KANISANI DAR ES SALAAM. ~ JUMA MTANDA

habarimpya.com - Kanisa lazidi kumtumia Lowassa katika harambee

Lowassa aendesha harambee Kanisa la Moravian Mbezi Beach Dar | Blog ya habari Tanzania | Online Newspaper | Thehabari.com

Au ukiwa CCM uko juu ya sheria? Kwa nini wana CCM mna double standards?
 

kweli kabisa mkuu
 
Wanabaguana Kigoma si chadema ni hao hao wakigoma. Kwa maana walioko kigoma sio walioko Mwanza na Arusha , iringa na Mbeya, Wenyeji wa Kigoma wanabaguana wao kwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…