Katika kile kinachoashiria anguko la kisiasa mkoani DSM, CHADEMA kimejikuta kikipoteza wafuasi, wanachama na wafadhili ndani ya kata ya Mianzini ambako waliambulia kura chache katika uchaguzi mdogo wa udiwani, uliohitimishwa kwa mgombea wa CCM, Mheshimiwa Mbwana kuibuka kidedea. Pigo takatifu kwa CHADEMA limeambatana na kufungwa kwa tawi la chama lililokuwa eneo la KAKONKO bar Majimatitu; Wiki mbili zilizopita bango la utambulisho wa ofisi ya chama lilionyesha OFISI YA CHADEMA kata ya Mianzini, hivi leo limebadilika na kuwa OFISI YA CCM tawi la Maji Matitu, POLENI akina Mwita &CO; CCM yasonga mbele kwa kasi kubwa huku CHADEMA ikirudi nyuma kwa kasi ya ajabu
ndio lugha zenu mkishikwa sehemu mbaya

Kwa Dsm, Chadema mna kazi ya kufanya, pokeeni huo ushauri.Kama mnataka kuikamata Dar, fanyeni kampeni ya nyumba kwa nyumba, fungueni matawi,wekeni viongozi imara,kuwe na ofisi za kudumu nk
Nikianike kikao chenu cha tathmini (video) ya Mianzni mtandaoni?
mkuu tatizo la chadema ni sera na itikadi zao za ukabila udini na ukanda sio ofisi wala nn. Hebu angalia kama mwenyekiti wa chama anaendesha danguro ataweza kuukemea (ushoga)? Hayo ndio mambo ya msingi ambayo watu hawayataki
Uhai wa chama sio bendera. Chama kiko rohoni mwa watu. Huyo mmiliki wa Kakonko CCM imemfanyia mizengwe ya kumfungia biashara yake, akaamua kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Wengi ndani ya CCM urafiki wao ni wa mashaka.
Mfano mzuri ni huu. Mianzini CCM ina wajumbe zaidi 980 bila kuhusisha familia zao, imekuwaje mkapata kura 1000 na wakati kila mjumbe alipewa Tzs 50, 000? Mbaya zaidi kila kura ya Mianzini mliyoipata thamani yake si chini ya Tzs 20, 000. Kumbuka kila mbunge wa CCM Dar amechanga milioni 3 na Mbwana kaweka rehani baa yake kwa Kisuma.
Katika tathmini ya CCM mmekubaliana kufungua akaunti ya uchaguzi kwa kila mtaa kwa ajili ya ucgaguzi wa serikali za mitaa mwaka kesho. Mmekubali kabisa kuwa uchaguzi wa Mianzini haukuwa mzuri kwenu na kwamba kama mgombea wa CUF angekuwa CHADEMA msingeshinda kata hiyo. Bahati nzuri mazungumzo yenu niliyanasa na ukibisha nitayaweka wazi mtandaoni.
sitashangaa nyie ni hodari wa kuunganisha picha kama ilivyotamkwa na Kamanda Chagonja! CDM ni janga la taifa, mwisho wake ni 2014 uchaguzi wa serikali za mitaa
Siku zote wana CDM hawataki kuambiwa UKWELI, habari ndiyo hiyo uchaguzi mdogo umeisha, CDM imepotea Mbagala! CDm ni chama cha msimu, wakati wa uchaguzi tu
nyie ni huko huko kaskazini bana sio huku kwa wajanja..
mkuu tuwekee, usiwaogope hawa bagamba
Tatizo CCM ikishinda unaanza kujiuliza, wamehonga shilingi ngapi? wameibaje ibaje? ni vitisho gani wametumia? ni sawa na jambazi tu,
mkuu tatizo la chadema ni sera na itikadi zao za ukabila udini na ukanda sio ofisi wala nn. Hebu angalia kama mwenyekiti wa chama anaendesha danguro ataweza kuukemea ushoga? Hayo ndio mambo ya msingi ambayo watu hawayataki
ni kweli hiyo hela ya Lumumba ina wachanganya hawa maccm! Lakini kumbuka au kwa kusaidia ni kwamba kama CDM imepoteza ni sawa. CDM inaamina ktk demokrasia hivyo kuna mahali magamba itabidi wapate kwa sababu mtaji wao mkubwa ni kutoelewa kwa baadhi yetu sisi watanzania.ndio lugha zenu mkishikwa sehemu mbaya
mkuu tatizo la chadema ni sera na itikadi zao za ukabila udini na ukanda sio ofisi wala nn. Hebu angalia kama mwenyekiti wa chama anaendesha danguro ataweza kuukemea ushoga? Hayo ndio mambo ya msingi ambayo watu hawayataki
jamaa anajifikiria huko kipindi anawasiliana na lumumba hebu weka picha kwanza
Duh! wameisha anza kuiga tabia zenu chafu, ama kweli CCM ni janga, walikuwa safi sana hawa jamaa! ili wasizidi kuharibiwa ni bora kukikataa CCM mapemaCDM ni genge lililosheni watu wasiotayari kupoteza uchaguzi hatakama hawakuwekeza; Mianzini daili zilikuwa tosha kwani CDM ilianza kujitokeza wakati wa kampeni mbaya zaidi kwa kutumia makada wasio wakazi wa kata husika