Chadema! Now this is too much. Si Utafiti umeshasema mna 74% ya kura! Na kwa kulitambua hilo hata Magamba hawajaupinga utafiti huo bali wapo bize kununua shahada ili wapunguze aibu. Sasa na hili mnaona halitoshi mpaka nae Zitto aende! CCM si wazee wenzenu? Cha kutaka kuwatia fedheha mbele ya kizazi hiki na mbele ya Mgoni wa Mwigulu Nchemba ni nini!
nguvu zaidi zahitajika mana tamko la polisi leo ati kukamatwa na hati za kupigia kura ambazo si zako ati sio kosa,inabidi wakawabane hukoChadema! Now this is too much. Si Utafiti umeshasema mna 74% ya kura! Na kwa kulitambua hilo hata Magamba hawajaupinga utafiti huo bali wapo bize kununua shahada ili wapunguze aibu. Sasa na hili mnaona halitoshi mpaka nae Zitto aende! CCM si wazee wenzenu? Cha kutaka kuwatia fedheha mbele ya kizazi hiki na mbele ya Mgoni wa Mwigulu Nchemba ni nini!
Kwa hiyo kitu gani hujaelewa, tunakujua wewe ni mzee wa kidhungu mbona siku hizi hutumii Mwita25?Magwanda kweli vilaza hata wa lugha, hiyo heading ilitakiwa iwe ' Zitto on his way to Igunga'
huna tofauti na huyo kwnye avata yako aliyepigia magoto watot wa shule
sasa hivi mnatafutakila sababu ili cdm ionekane ina vurugu
yule kijan mmlimmwagia tindikali
leo mlikuwa mmpenga kuchoma ofc za ccm igunga ili ionekane ni cdm bahati nzuri mpango wenu umejulikana na kugonga ukuta
mwaka huu mmepigwa kwenye mshono na nyuzi zimefumuka ....kazi mnayo
Kwa hiyo kitu gani hujaelewa, tunakujua wewe ni mzee wa kidhungu mbona siku hizi hutumii Mwita25?
Where are Wenje and bwana mdogo wa MBOZI? Watu wanatakiwa waambiwe kuwa CDM ni chama kinachopendwa kila mahali na watu wamediriki hata kuwachagua vijana wadogo tu kwa sababu hawaitaki tena CCM. Je wanaigunga mnataka mfie kwenye mzoga wa CCM? Waambieni washutuke wasiwe kama KUPE anayengania kwenye ngozi ya ngo'mbe ili hali ngombe alishachinjwa watu wameshakula nyama zamani. CCM ya Nyerere ilishachinjwa zamani na mafisadi na yameshaila nyama zamani kilichobaki ni ngozi tu ambayo wanaCCM KUPE ndo wameng'ang'ania. Watu wa Igunga wanahitaji waelezwe kwa mifano si kwa kutumia maneno magumu hawataelewa kwa sababu wengi hawakusoma. Niwajuavyo wasukuma wanapenda mtu anayesema nao kwa mifano ya kuwavutia.
huna tofauti na huyo kwnye avata yako aliyepigia magoto watot wa shule
sasa hivi mnatafutakila sababu ili cdm ionekane ina vurugu
yule kijan mmlimmwagia tindikali
leo mlikuwa mmpenga kuchoma ofc za ccm igunga ili ionekane ni cdm bahati nzuri mpango wenu umejulikana na kugonga ukuta
mwaka huu mmepigwa kwenye mshono na nyuzi zimefumuka ....kazi mnayo
Sasa ndio nimeamini kuwa huyu ni Mwita25, duh! jamaa anataabika sana sijui analipwa sh ngapMagwanda kweli vilaza hata wa lugha, hiyo heading ilitakiwa iwe ' Zitto on his way to Igunga'
Sasa ndio nimeamini kuwa huyu ni Mwita25, duh! jamaa anataabika sana sijui analipwa sh ngap
haina shida nasi yupo Mangulla tumemuita
haina shida nasi yupo Mangulla tumemuita
Zitto na Mnyika ndio watu pekee wenye akili Chadema nzima!
Wengine wote kuanzia katibu wao VILAZA